Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Jo isije tu ukawa unaangalia na jicho la ze bulldozer?Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana
Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK
Wapinzani watapokea Wanaccm wengi watakaofeli kura za maoni kama ilivyokuwa 2015
Ahsanteni Sana 🐼
cc: mzee Mgaya