theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 289
- 192
Kwa wale,wapenzi wa muziki wa ukweli,Real Music watakuwa wanamfahamu Nguli huyu wa Rapper. Hasa wale Vijana wa 1990'S,the boy Made it world to be around kwa hits kalii.
Though Modern hiphop imeshika KASI sana miaka hii,na Jamaa ni Real so Ngoma anatoa NADRAA sana.
Shows zake ni kuanzia $200000K,mwaka juzi AliMiss show Angola,walikuwa wamemlipa $300000k!
NB: jamaa stills lookin' young with 39!
hahaa,mkuu umenikumbusha mbali sana with this Albam cover..Inaelekea ww ni mdau wa Nas kiukweliii.. DEFJAM wanamlipa $400000k per month,atoe singo, asitoe...1.huyu jamaaa mkali
2.hachuji
3.hazeeki
4.sisikiagi skendo zake kama wenzie ila alileta gumzo mwaka 2006 alipotoa ngoma yake "hiphop is dead"
5.albamu yake ya kwanza mimi kununua ilikuwa yake
hahaa,mkuu umenikumbusha mbali sana with this Albam cover..Inaelekea ww ni mdau wa Nas kiukweliii.. DEFJAM wanamlipa $400000k per month,atoe singo, asitoe...
Very powerful ,sensitive snd emotional song ever seen.a lot of credits ,he made itDah ebana katika wanamziki ambao nimesikiliza album zake zote huyu na bob marley dah nom..hawa ndo malegend bana my favorite truck dance with my mother hadi nilikuwa nalia *****...