theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 289
- 192
Kwa wale,wapenzi wa muziki wa ukweli,Real Music watakuwa wanamfahamu Nguli huyu wa Rapper. Hasa wale Vijana wa 1990'S,the boy Made it world to be around kwa hits kalii.
Though Modern hiphop imeshika KASI sana miaka hii,na Jamaa ni Real so Ngoma anatoa NADRAA sana.
Shows zake ni kuanzia $200000K,mwaka juzi AliMiss show Angola,walikuwa wamemlipa $300000k!
NB: jamaa stills lookin' young with 39!