The Masterpiece
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 562
- 1,544
Ajabu nini we chizi, hii story ya mwaka juzi Kila siku wajinga kama wewe mnairudia humuIla cha kuchekesha teknolojia zao unatumia kama ulivyo weka profile ya kuku kuthibitisha akili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu nini we chizi, hii story ya mwaka juzi Kila siku wajinga kama wewe mnairudia humuIla cha kuchekesha teknolojia zao unatumia kama ulivyo weka profile ya kuku kuthibitisha akili yako
To me this is nonsense.Hivi wanadamu tumemucha Mungu kiasi kwamba we believe any rubbish around.Kwani Mungu yuko wapi mpaka haya yatutokee?Si ndiye aliyetuumba na akatuwekea hapa duniani,so kwa nini tena aruhusu jambo ovu la kikatili kama hili litutokee?Humanity must not worry,this will not happen.God is the initiator of our life here on Earth so He will stand by us,hayo ni matisho tu ya Shetani,God cannot turn against us.Shetani ni baba wa uongo na watoto wake nao wapo hivyo hivyo.View attachment 3262370
Taarifa ya kuogopesha kuhusu Jiwe kubwa aina ya Asteroid kuweza kutua Duniani na kuhalibu Jiji kwa Ukubwa wake imetolewa na mwanasayansi akisema Nasa imechelewa kuzuia jiwe Hilo.
Inawezakana ukafikiria labda ni movie za Hollywood kuhusu Scifi Filamu kuhusu Jiwe kuhalibu maeneo ya watu ila hii ni Uwalisia Kuna jiwe kubwa linashuka Duniani na litaweza kusababisha Uharibifu mkubwa kwenye eneo litakalo tua.
View attachment 3262374
Jiwe Hilo kubwa limepewa jina la 2024 YR4 liko njiani kushuka Duniani, likiwa na ukubwa sawa na sanamu la statue library, yenye ukubwa wa futi 130 mpaka 300 sawa na Mita 40 na 90 kulingana na ripoti ya Daily Mails.
mwandishi na mtaalamu wa volkano anayeishi London Dakt. Robin George Andrews. Alisema huenda tusiweze kuzuia kabisa jiwe kubwa hili kuweza kushuka Duniani kwani tuko chini ya miaka 8 ya kuweza kukabiliana nalo kupitia mtandao wa X aliweza kusema.
View attachment 3262375
Aliongezea kwa kusema kupanga na kuthibiti hii asteroid 2024 YR4 ni zaidi ya miaka 10 lakini sasa linakaribia kushuka Duniani tuna chini ya miaka 8 hivyo tumeshindwa kulipoteza Tuombe tu Madhara yasiwe makubwa.
kuhaLibu ❌View attachment 3262370