NASA kuwalisha wafuasi wao kabla ya kuanza maandamano

Nasa wanataka vita tu
Mbali Na vita hofu yangu Ni Kenya huru kuona inaingia machafuko yasiyokwisha busara ingetumika baada ya Mariga kubatilisha uchaguzi..
Naamini machafuko yakizidi Si Odinga atakayepata tabu ila Ni wafuasi Na wananchi wa Kenya kwa ujumla wake...
 
Shida pale ni Uhuru na team yake, madai ya Odinga ni sahihi kabisa japo mengine yanahitaji muda . Haiwezekani wale wale walioshiriki kuharibika kwa kura ya 8/8 wawe ndiyo waandalizi wa kura mpya hawawezi kuaminika tena. Ule mtambo wa ( server) lazima iwe cleared na isiwe na kitu ndani kabla ya marudio ya uchaguzi. Na kampuni yeyote iliyohusika na udanganyifu unyang'anywe ukandarasi. Sasa hata kama yote yasingewezekana ila majadiliano yangesaidia kupunguza tension. Sasa Uhuru alivyo mkora anatuma wakora wenzio kwenda kubadili sheria za uchaguzi. Kwa hali ilivyo Kenya sasa busara na majadiliano yenye kuleta maridhiano tu ndiyo inaweza kuikwamua.
 
madai angepeleka kwa korti huku mtaani anavuruga credibility yake.
 
very stupid these NASA idiots...sasa maandamano yatabadilisha nini?
Very stupid indeed .I saw on Citizen TV a foolish woman from kibera ,already living in poverty, who's neglecting her own business just to attend these protests.
 
Clouded thinking, though I expect such from your kind.
 
Very stupid indeed .I saw on Citizen TV a foolish woman from kibera ,already living in poverty, who's neglecting her own business just to attend these protests.
Sasa kaka kwann asiprotest kama utawala huo huo ndo imemfanya aishi kwenye mazingira ya kimaskin japo ana biashara zake watu wanahitaj haki kaka sio kisa maskin ndo kila kitu kiwe ndio watu washapoteza maisha kisa kusaka hak zao na vizaz vyao vilifaidika acha mama apambane watoto zake waje kuchekelea maisha#Kama ana amin hakutendewa haki na huyo anae mpigania anahis atamtengenezea mazingira mazur aondokane na umaskin 50/50
 
Reactions: Oii
Ajabu sana, watu wanamshambulia Odinga eti sababu ni rafiki wa Magufuli.
Stupid people.
 
mke na watoto'wa viongozi nao watakuwemo kwenye maandamano? huku wakiwa wameshikilia mikate na soda?
 

Unataka kusema sheria na katiba ziwekwe kapuni

Why is it difficult to have a free and Fair election in Africa
 
Mhh watu wa middle income wanapora sodaπŸ˜€πŸ˜€πŸ™„πŸ™„ sasa inabidi wapewe soda na mikate ya bure kweli hali mbaya sana sema ukiwakuta humu wanapayuka unaweza dhani wanatokea nchi ya asali na maziwa
Yaani
 
Maandamano ya nini tena? Mgombea wao kabwaga manyanga kabla ya mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…