safishanyota
Member
- Oct 2, 2017
- 34
- 24
Mbali Na vita hofu yangu Ni Kenya huru kuona inaingia machafuko yasiyokwisha busara ingetumika baada ya Mariga kubatilisha uchaguzi..Nasa wanataka vita tu
Naamini machafuko yakizidi Si Odinga atakayepata tabu ila Ni wafuasi Na wananchi wa Kenya kwa ujumla wake...