NASA kuwalisha wafuasi wao kabla ya kuanza maandamano

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Muungano wa Upinzani (NASA) umepanga utakuwa unawapa mikate na soda wafuasi wao kabla ya kuanza maandamano ili kuwafanya wasipore tena vyakula vya wafanyabiashara

Hayo yamesemwa na mbunge wa Dagoretti Kaskazini Simba Arati baada ya videoinayoonyesha wafuasi hao wakiwapora soda kwenye mgahawa

Seneta wa Siaya James Orengo alitangaza kuanzia Jumatatu maandamano yatakuwa yanafanyika kila siku
=========================================

The National Super Alliance (NASA) has come up with what they believe is the cure of the senseless looting by some of its supporters during the anti-IEBC demonstrations.

Dagoretti North MP, Simba Arati promised the party’s supporters on Wednesday that they will start providing bread and soda to their supporters before every demos.
This was after a video surfaced showing people stealing sodas outside a Nairobi restaurant. Arati said this was as a result of hungry and thirsty supporters.

Close sources told Citizen Digital that NASA intends to purchase 20,000 bottles of soda and loaves of bread daily, to feed its fans at Uhuru Park, this coming after Siaya Senator James Orengo announced daily demonstrations starting next week Monday (October 16) until their demands to IEBC are met.

Source: Citizen Tv
 
mkuu wewe si ulikuwa upinzani? au umejitoa?
kwanza sikubaliani na yeyote pale....Kenyatta ni mkora na Odinga ni msumbufu...ila kwa sasa naona ni bora Kenyatta amalizie term yake ili nchi isonge mbele...biashara imeharibika sana sababu ya haya maandamano ya NASA...
 
Pointi, mwenyewe nilikuwa nataka upinzani ushinde ila sio kwa gharama kubwa hivyo aisee
 
kwanza sikubaliani na yeyote pale....Kenyatta ni mkora na Odinga ni msumbufu...ila kwa sasa naona ni bora Kenyatta amalizie term yake ili nchi isonge mbele...biashara imeharibika sana sababu ya haya maandamano ya NASA...

Hapo suluhisho ni moja TU, Uhuru Kenya akae na Raila Odinga wakubaliane kwa maandishi kwamba Uhuru atakuwa Raisi labda kwa miaka 2 halafu ampishe Raila Odinga (bila ya Uchaguzi) kwa kipindi kilichobakia, kwani lengo la Odinga na Wajaluo ni Uraisi tu kabla hajafa, kinyume na hapo Uhuru Kenya hataongoza kwa raha kama Wajaluo hawajatoa Raisi wa Kenya!
 
Kenyatta ameshasema hakuna nusu mkate.
 
Hiyo ni safi sana, Kenya na iwe fundisho kwa nchi za africa ambazo viongozi walio madarakani demokrasia huwa wanaimba kwenye midomo yao tu.
 
kwanza sikubaliani na yeyote pale....Kenyatta ni mkora na Odinga ni msumbufu...ila kwa sasa naona ni bora Kenyatta amalizie term yake ili nchi isonge mbele...biashara imeharibika sana sababu ya haya maandamano ya NASA...
Hahahah boss
 
Hapo suluhisho ni moja TU, Uhuru Kenya akae na Raila Odinga wakubaliane kwa maandishi kwamba Uhuru atakuwa Raisi labda kwa miaka 2 halafu ampishe Raila Odinga (bila ya Uchaguzi) kwa kipindi kilichobakia, kwani lengo la Odinga na Wajaluo ni Uraisi tu kabla hajafa, kinyume na hapo Uhuru Kenya hataongoza kwa raha kama Wajaluo hawajatoa Raisi wa Kenya!
Hahaa kwa katiba gani?
 
Mhh watu wa middle income wanapora soda😀😀🙄🙄 sasa inabidi wapewe soda na mikate ya bure kweli hali mbaya sana sema ukiwakuta humu wanapayuka unaweza dhani wanatokea nchi ya asali na maziwa
 
Back
Top Bottom