Nasa Militia Attacks Citizen TV Journalist, Kicks Him Out of Venue

MNAWAKUJIA!!!What is MNAWAKUJIA??Is better you speak KI-mombo!!!!
yap...because I am better at English...ila sababu wewe mshamba wa Bongo, lazima nijikaze nikuandikie lugha unayoielewa angalau...nisije nikawa napigia mbuzi guitar na lugha ya malkia...😀😀😀😀
 
I am not good in Swahili but I know more KIKUYU!!
 
Hebu tupe matokea ya huko Pwani ya Mombasa kama wewe unalalamikia wajaluo tu.
Thank You Na sio pwani pekee
Atupe ya
Kisii
Wasomali
Marsabit
Turkana
Kitui
Machakos
Makueni
Narok
Nyamira
Atupe zote
 
We mkalenjin acha kutumika Kenya ni ya wote sio ya wakikuyu au wakalenjin so msijione mna haki sana ya kuonea wajaluo

Halafu wewe zitto junior nilijua utakua yule Zitto Kabwe, lakini kwa maana umeposti wakati naskia kakamatwa kisa anatoa takwimu bila kuhakiki, ina maana sio wewe.
Huyo jamaa wenu mbona anamjaribu jaribu Magu kihivyo, huko kwenu majanga kwa kweli ndio maana kutwa mnajiliwaza na siasa za Kenya.
 
Huyo zitto Ana hasira kakosa kuteuliwa uwaziri/cabinet secretary ndio maana anakuwa aggressive critic wa magufuli

Kiukweli hku majanga kisiasa ingawa nashukuru hayajafikia ya kuuana wananchi au ukabila kma huko kwenu ambapo mnafanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu

All in all nafuatilia sana siasa za Kenya kuanzia Leo mashinani ya KTN mpaka nipashe ya citizen
 
Ukabila kwetu ni donda sugu na halitokaa lipone, waasisi wa nchi waliendekeza na sisi tukapokea na kuendeleza hadi leo, la kushangaza hata wasomi kwenye vyuo vikuu, maprofesa wote wakabila kwa kwenda mbele, yaani tupo kwenye shimo lenye kina kirefu.
Halafu sote Kenya hakuna wa kumuelekeza mwenzie kidole, hamna mzuri zaidi ya mwengine.
 
Suluhisho ya haya yote ni nni ??
 
Nov-02-17-Baba-and-Free-Media-1024x724.jpg
 
Back
Top Bottom