Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
yap...because I am better at English...ila sababu wewe mshamba wa Bongo, lazima nijikaze nikuandikie lugha unayoielewa angalau...nisije nikawa napigia mbuzi guitar na lugha ya malkia...ππππMNAWAKUJIA!!!What is MNAWAKUJIA??Is better you speak KI-mombo!!!!
Hao ni vifaranga vya computer!!!!We prevented them by the vote.
In case you've not heard, we won by 98%.
I am not good in Swahili but I know more KIKUYU!!yap...because I am better at English...ila sababu wewe mshamba wa Bongo, lazima nijikaze nikuandikie lugha unayoielewa angalau...nisije nikawa napigia mbuzi guitar na lugha ya malkia...ππππ
Ila unanikosoa ninapoandika kiswahili kibovu sio??πππππyaani kipofu anamsaidia kiziwi kuvuka barabara?ππI am not good in Swahili but I know more KIKUYU!!
We mkalenjin acha kutumika Kenya ni ya wote sio ya wakikuyu au wakalenjin so msijione mna haki sana ya kuonea wajaluoWe prevented them by the vote.
In case you've not heard, we won by 98%.
Achana naye huyo hana analojua zaidi yamekalia ukabila huku yanajifanya masomiI am not good in Swahili but I know more KIKUYU!!
They've gunned down a few. But they are too many they cannot all be shot.Do you mean that Kenyan police failed to gun down Raila Odinga militias?
MNAWAKUJIA!!!What is MNAWAKUJIA??Is better you speak KI-mombo!!!!
Thank You Na sio pwani pekeeHebu tupe matokea ya huko Pwani ya Mombasa kama wewe unalalamikia wajaluo tu.
We mkalenjin acha kutumika Kenya ni ya wote sio ya wakikuyu au wakalenjin so msijione mna haki sana ya kuonea wajaluo
Huyo zitto Ana hasira kakosa kuteuliwa uwaziri/cabinet secretary ndio maana anakuwa aggressive critic wa magufuliHalafu wewe zitto junior nilijua utakua yule Zitto Kabwe, lakini kwa maana umeposti wakati naskia kakamatwa kisa anatoa takwimu bila kuhakiki, ina maana sio wewe.
Huyo jamaa wenu mbona anamjaribu jaribu Magu kihivyo, huko kwenu majanga kwa kweli ndio maana kutwa mnajiliwaza na siasa za Kenya.
Huyo zitto Ana hasira kakosa kuteuliwa uwaziri/cabinet secretary ndio maana anakuwa aggressive critic wa magufuli
Kiukweli hku majanga kisiasa ingawa nashukuru hayajafikia ya kuuana wananchi au ukabila kma huko kwenu ambapo mnafanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu
All in all nafuatilia sana siasa za Kenya kuanzia Leo mashinani ya KTN mpaka nipashe ya citizen
Suluhisho ya haya yote ni nni ??Ukabila kwetu ni donda sugu na halitokaa lipone, waasisi wa nchi waliendekeza na sisi tukapokea na kuendeleza hadi leo, la kushangaza hata wasomi kwenye vyuo vikuu, maprofesa wote wakabila kwa kwenda mbele, yaani tupo kwenye shimo lenye kina kirefu.
Halafu sote Kenya hakuna wa kumuelekeza mwenzie kidole, hamna mzuri zaidi ya mwengine.