KWELI NASA mwaka 2024 waligundua jiwe ambalo lingetarajiwa kudondoka duniani mwaka 2032

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina

Report from NASA wenyewe wanasema chance ya hili jiwe kuhit earth ni 1%


so hakuna kitu kama hiki
 
Ina maana Mungu ameichoka Tanzania kiasi hiki.
 
Jiwe lipo huko Mbeya hadi leo watu wanaenda kupiga nalo picha ndio tuogope jiwe hilo? Lije tu liongeze utalii Tanzania.
 
Ahsante kwa tahadhari, ngoja nianze kujenga andaki langu sasa hivi!
 
Hakuna consistency kuhusu hizo nchi. Kwanini Sudan iwepo wakati haipakani na bahari? Hayo ni matisho tu! Walete taarifa za kisayansi.
 
Sasa hapo Nigeria na tanzania mbona kama ni mbingu na ardhi..yani tupo nao mbali sana yaani jiwe liathiri Tanzania lisiathiri kenya wala Mozambique au uganda au rwanda ila liathiri tanzania na Nigeria iseeee hii ni alufu ulela hii..
 
Sijui kwanini habari ya UWONGO inaachwa iendelee.

Mods mmepuyanga mno.
 
JAMANI..!!! Huko angani si ndo kuna Gravitation Zero vitu vinaelea elea tuu. Sasa haya majiwe yanavutwa na nini huku Duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ