๐๐๐ป๐ฎ ๐ท๐ถ๐๐ฒ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐น๐ถ๐๐ฎ๐๐ต๐๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ๐ป๐ถ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฏ๐ฎ
Watafiti kutoka Nasa wameshaanza kutoa ripoti kuhusu jiwe kubwa litakalo weza shuka duniani ambalo linaitwa asteroid 2024 YR4, na kuibua wasiwasi juu ya maafa yanayoweza kuhalibu baadhi ya miji kwenye nchi kadhaa.
Imelipa jina la ukanda wa hatari "risk corridor" litakaloweza kuathiri baadhi ya nchi kwa mawe hayo makubwa kushuka Kuanzia ukanda wa kaskazini Ya Amerika ya kusini kuvuka bahari ya pasifiki, ukanda wa kusini mwa bara la Asia, pamoja Afrika upande wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

- Tunachokijua
- Kwa mujibu wa NASA, jiwe lililopewa jina la asteroid 2024 YR4, liinakadiriwa kuwa na ukubwa wa futi 130 - 300 (mita 40 - 90). Asteroid 2024 YR4 iliripotiwa kwa mara ya kwanza na kituo kijulikanacho kama Minor Planet Center, kituo cha kimataifa cha kuhifadhi vipimo vya mkao wa miili midogo ya angani โ na mfumo wa Asteroid Terrestrial-impact Last Alert System (ATLAS) unaofadhiliwa na NASA nchini Chile mnamo Desemba 27, 2024.
Wakati ilipogundulika kwa mara ya kwanza ilielezwa kuwa jiwe hili linaweza kushuka ulimwenguni mwaka 2032 na linaweza kuwa na athari kubwa kwa maeneo ambapo litadondokea. Ikiwa asteroid hii ingeingia katika angahewa, ingeweza kusababisha mlipuko wa angani (airburst). Ikiwa ingetokea juu ya bahari, haingeweza kusababisha tsunami kubwa.
Ila kama ingeanguka juu ya eneo lenye watu, athari zingetegemea ukubwa wake halisi. Kwa ukubwa wa chini (futi 130 - 200), ingeweza kuvunja madirisha na kusababisha uharibifu mdogo wa miundombinu. Ikiwa ni upande wa juu wa ukubwa (futi 300), ingeweza kuharibu majengo ya makazi na kusababisha uharibifu mkubwa zaidi.
NASA imeeleza kuwa kutokana na ufuatiliaji wao unaoendelea wamebaini kuwa hapo awali kulikuwa na uwezekano mdogo wa jiwe hilo kugonga Dunia tarehe 22 Desemba 2032, lakini uchunguzi zaidi umeonyesha kuwa hakuna hatari kubwa ama athari kwa Dunia mnamo 2032 au baadaye itakayotokana na jiwe hilo.