NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse

NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse

Au ndo maana hata Twitter haipatkanišŸ¤”
Mkuu chochote kinacho-rely on electricity can be affected.Na tukio hili ni cha mtoto,we haven't seen anything yet.As we move towards 2030,matumbo yatauma.Wale waliokuwa wanasema Masanzua ana conspiracy theories, watatambua kwamba wao ndio waliokuwa wajinga,and by the way we haven't seen anything yet,the worst is yet to come.Sitishi, lakini huo ndio ukweli.
 
CCM watasema vita ya UKRAINE
Si mambumbumbuu,wao mambo yao ni ya kitapeli tapeli tu kama siasa.Do you know what politics is,herešŸ‘‡,see!

What is politics?Politics is the manipulation of people to gain power over them.Politicians in their arrogance, flatter and manipulate others to extract benefit from them, to serve their own appetites.Their interest in others is not genuine, but rather seek to gain advantage to satisfy their own lust.

Na ndio maana mtu mwenye moral values, hawezi kuwa mwana siasa.
 
We will bomb NASA soon
Mkuu it is too late.Wamesha advance sana kitekinolojia.Unajua mkuu, haya "mazeruzeru" ambayo hayana "melanin" yana Roho mbaya sana.Almost kila kitu kiovu kinachotokea duniani, wao ndio wanaosababisha.
 
Kuna chama nawajua walivyo waongo hawakawii kusema 'haya yanatokea kwa kuwa wananchi hawataki kukukubali kura na kukipa kura chama"
 
NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse

MAY 10, 2024

NASA says Earth is presently being impacted by the first two, of SIX coronal mass ejections from the sun and the energy is causing a massive Geo-Magnetic storm around our planet. The storm has now reached level "G5" - the most severe on the Space Weather Scale! Power Grid COLLAPSE can take place at this level!

There is already severe disruption of satellite communications, GPS, and low frequency Navigation Beacons.

With the storm having now reached G5, we could see sporadic or even widespread power grid failures.

More as it becomes available

MY TAKE:
It is important for humanity to understand that this is not something natural, but probably created by NASA itself in it's bid to eliminate most of humanity by 2025.The truth is this,NASA wakiongea kitu,ujue wame-shakifanya,that is their modus operandi

NASA has already the technology to do this type of thing.
Next year ,?
 
Mkuu chochote kinacho-rely on electricity can be affected.Na tukio hili ni cha mtoto,we haven't seen anything yet.As we move towards 2030,matumbo yatauma.Wale waliokuwa wanasema Masanzua ana conspiracy theories, watatambua kwamba wao ndio waliokuwa wajinga,and by the way we haven't seen anything yet,the worst is yet to come.Sitishi, lakini huo ndio ukweli.
Mungu atusaidie mkuu.
 
Pia sijajua nini hasa chanzo cha haya mafuriko na majanga ya asili? Leo hii karibia maziwa yote Tanzania yamejaa na kurudisha/kuingiza maji mtaani.
Mkuu ukweli unauma,lakini lazima usemwe.Tatizo ni kwamba Wanadamu tumemuasi Mungu,so He has withdrawn His protection,kwa hiyo Shetani using his agents anatuchezea kama mpira wa corner.He has provided them with unbelievable technologies ambazo ndizo wanazotumia kutuchezea.

Jambo la ajabu na kushangaza ni kwamba badala ya kumrudia Mungu,tukatubu na kuacha njia zetu mbaya,uovu ndio unazidi kuongezeka.What next then,Shetani atakaza uzi and he is already doing it,na hali yetu will only get worse by the day,na mwisho ni jehanamu ya moto.Very sad.
 
Mkuu chochote kinacho-rely on electricity can be affected.Na tukio hili ni cha mtoto,we haven't seen anything yet.As we move towards 2030,matumbo yatauma.Wale waliokuwa wanasema Masanzua ana conspiracy theories, watatambua kwamba wao ndio waliokuwa wajinga,and by the way we haven't seen anything yet,the worst is yet to come.Sitishi, lakini huo ndio ukweli.
2003 likitokea Hilo suala na ndo linalingana ukubwa na hili,hapa kati yametokea Ila si kwa ukubwa,usipende negative conspiracy theories
 
2003 likitokea Hilo suala na ndo linalingana ukubwa na hili,hapa kati yametokea Ila si kwa ukubwa,usipende negative conspiracy theories
Umekwenda huko bahari ukaona?These are international conspiracies.NASA wanafanya vitu vyao wanawapa directive semeni hivi hawa washenzi wasijue kinachoendelea, kama ilivyokuwa kwenye Covid na mambo mengine mengi huko nyuma.Yaani you people are so dumb.Kuna mtu wa kuamini leo bila ku-prove kitu mwenyewe.Wake up guys.

Sasa hii ni conspiracy kwa vipi.Na unajua hata hiyo concept ya conspiracy theory nani kainzisha na kwa sababu gani,au mna pick tu vitu kama vikasuku.Magnetic storms are real na zina athiri mifumo yote ya umeme,na NASA walikuwa na mazoezi kwenye Ionosphere na HAARP,na HAARP ina capability ya ku-trigger Magnetic Storms.Unajua hata HAARP ni nini wewe,mmekaa tu kihasara hasara,mtabebwa kijumla jumla.

Mkuu this is not a conspiracy theory kwa kuwa wamesema kutakuwa na Magnetic Storms, ambazo zita athiri mifumo yote inayotumia umeme kwa kuwa down, ikiwa ni pamoja na Power Grids au hata Internet Services,sasa ni conspiracy theory kwa vipi.Pimbi kabisa.Kama hujui Magnetic Storms ni nini kalale,hii kitu ipo above you,wenzio tunaojua mambo ngoja tuseme.Na umbumbumbu wenu huo mtadanganywa sana.You people are like sheep being sent to the slaughter palour,very sad indeed,once more wake up.
 
Back
Top Bottom