NASA wanamatatizo gani jamani?au wameshashindwa kabla


Sisi tulio Kenya twajua kinachoendelea. Majaji waliotengua uchaguzi walifanya upuuzi sana kwani hakukuwa na debate on the Numbers. Ilikuwa tu upuuzi wa ohh, electronic transmission, ohh fomu hazikuwa na signatures na mambo ya kipuzi kama hayo. Sasa NASA wajua vizuri sana kile kilichofanyika na wanajua vyema sana kwamba uchaguzi walishindwa vibaya sana. Hawataki uchaguzi, wanataka mkate NUSU
 
wanataka nusu mkate....Raila yupo vizuri kuanzisha vurugu kuliko kutafuta kura...ameshazoea short cut huyu akishdwa...safari hii sioni akipata hata nusu keki
Mbona mnakimbilia nusu mkate wakati madai yao ni simple!! "Maafisa waliovuruga uchaguzi wasiwe sehemu ya marudio ya uchaguzi" Hili nalo tutafute mkalimani?!
 
Mbona mnakimbilia nusu mkate wakati madai yao ni simple!! "Maafisa waliovuruga uchaguzi wasiwe sehemu ya marudio ya uchaguzi" Hili nalo tutafute mkalimani?!

Hao ni maafisa wagani? Jina zao mmezitoa wapi? Ama mmezitafuta kwenye NASA tallying centre?
 
Hao ni maafisa wagani? Jina zao mmezitoa wapi? Ama mmezitafuta kwenye NASA tallying centre?
Mwenda omo majaji wamesema uchaguzi ulikuwa na kasoro. Sasa ondoeni hizo kasoro uchaguzi ufanyike!! Mbona wa Africa tunapenda kutumia hila ktk kila kitu especially uchaguzi ?!
 
Kwani rafiki yake mkuu wa odinga si anapemba huruma za wananchi, so na wao wanatafuta huruma ya wananchi na jumuiya za kimataifa ili waje wapate angalau hata serikali ya mpito!
 
Acha mambo ya billioni, priority ni sheria iheshimiwe at any cost, stop that cost consciousness when it comes to salvaging rule of law and democracy
 
Mbona mnakimbilia nusu mkate wakati madai yao ni simple!! "Maafisa waliovuruga uchaguzi wasiwe sehemu ya marudio ya uchaguzi" Hili nalo tutafute mkalimani?!
hivi Raila akishindwa kila uchaguzi lazima tume ibadilishwe au ndio kutafuta mahala pakujisikia.
aliwaaminisha wengi ingeshinda raundi ya kwanza na kwamba kura zake kamwe zisingeimbiwa sasa ilkua aje akawa na kura 6m+ na akashindwa..
Raila timu yake ya akina Ndii alimdanganya..ushindi unatafutwa kwa watu sio vikao vya ma principal kila kukicha wakati Jubilee wanachana mbuga kutafuta kura
 
Hao ni maafisa wagani? Jina zao mmezitoa wapi? Ama mmezitafuta kwenye NASA tallying centre?
mahakama haijamtia hatiani afisa yeyote wa IEBC kwa maksudi kwa utashi wake au kwa kuhongwa kuhusika kupika matokeo au kutoa upendeleo kwa Jubilee.
Naamini katiba yao inatoa njia sahihi za kuindoa Tume au maafisa wake kwenye hizo nafasi hili la kuitisha maadamano huku Raila amejifungia kwake na kuacha ma jobless kuadamana ndio kawaida yao.
 
Mwenda omo majaji wamesema uchaguzi ulikuwa na kasoro. Sasa ondoeni hizo kasoro uchaguzi ufanyike!! Mbona wa Africa tunapenda kutumia hila ktk kila kitu especially uchaguzi ?!

Nimekuuliza ni Afisa wagani? Hujanijibu. Ama tu ni propaganda for teh sake of it?
Umesoma maamuzi ya koti? Mambo yalikuwa mawili:

1. IEBC walitangaza kura kabla ya kupokea form 34A zote na kuwa walitegemea forms 34B. Kwanini mahakama hawakufanya tally yao kutumia form 34A?

2. Kulikuwa na forms ambazo hazikuwa na saini (tuhuma ambazo zilijulikana kuwa za uwongo,) na kuna zile amabzo hazikuwa na serial numbers.

Kwani kurekebisha haya mambo mawili yanahitaji muda kiasi gani? Chiloba anahusikaje hapa? Marjan anahusikaje hapa? Haya majina mliyatoa wapi? NUSU mkate ndio msemo tu. Hakuna lingine.
 
Good argument, na Mimi nimekuwa nikishangazwa sana na judgement yao.
Kweli kabisa na ndio mimi nilisema hao majaji interest yao kubwa ilikuwa kuonyesha "independence of the judiciary" in a big and very public manner .Hawakuleta fair ,reasoned and convincing ruling.
 
Is this a quote from somewhere? So sad man but so true!
And Odinga is the principle cause of very expensive Kenyan elections (even more expensive than US elections per capita) cuz he believes he's rigged out.The result is -we buy this many gadgets,those systems ,contract this and that services ...all just to ensure free and fair elections bcuz of one person who never believes he lost fairly.
 
Nasa is headed by Kenya's own Riek Machar.
Watch him destroy his country.

Raila did it in 2007/2008 akamsokomezea William Ruto kwani Ruto was in ODM, this time anataka kufanya hivyo hivyo na Kalonzo na Mudavadi ndo watasokomezewa since Baba kwenda kwenye maandamano haendi anawapeleka hao wawili na yeye anasema kamanda anakaa mbali ila foot soldiers wanakuwa na field commanders Kalonzo na Mudavadi. Sasa kwa sababu fujo zitakuwepo na wengine kuuwawa, those two will be the sacrificial lambs ICC!!!!!!!! Unaona ujanja wa Hon Raila ili akwepe kama alivyokwepa ICC 2007. I do hope his lieutenants wameshutuka(yaani the flower boy Musyoka na Mudavadi.
 
Kiyawi maflower girl, Stevo na madvd ni mambumbumbu wa kupindukia hawawezi gundua njama zozote za Raila, kawaida yao ni kukenua tu na kuvuta vuta skirt zao.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…