Siwaelewi NASA na kiongozi wao jamani,walipettion ushindi wa Rais na supreme court ikawasikiliza nakushinda,baadaye wakapinga tarehe 17october yamarudio iliyopangwa awali na IEBC,tarehe imebadilishwa mpaka tarehe 26 october,tena wamekuja na issue nyingine hawamtaki COO wa IEBC,
Nadhani kuna kitu wanakitafuta hawa jamaa,mwenye uelewa please!
Sisi tulio Kenya twajua kinachoendelea. Majaji waliotengua uchaguzi walifanya upuuzi sana kwani hakukuwa na debate on the Numbers. Ilikuwa tu upuuzi wa ohh, electronic transmission, ohh fomu hazikuwa na signatures na mambo ya kipuzi kama hayo. Sasa NASA wajua vizuri sana kile kilichofanyika na wanajua vyema sana kwamba uchaguzi walishindwa vibaya sana. Hawataki uchaguzi, wanataka mkate NUSU