Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hatari inakuja maana serikali itawakamata kwa uhaini, then what next? Jeshi linaweza kugawanyika, what next likigawanyika? Raila anaungwa mkono na Jeshi? if yes, what next? Kenyatta anaungwa mkono na jeshi, if yes, what next?View attachment 671013 Viongozi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya (NASA) wametangaza kampeni ya kitaifa kuhamasisha wafuasi wao kujitokeza kwenye sherehe za kuapishwa kwa kiongozi wao Raila Odinga na naibu wake Kalonzo Musyoka tarehe 30 ya mwezi huu.
vitaKuna hatari inakuja maana serikali itawakamata kwa uhaini, then what next? Jeshi linaweza kugawanyika, what next likigawanyika? Raila anaungwa mkono na Jeshi? if yes, what next? Kenyatta anaungwa mkono na jeshi, if yes, what next?
Wamesema hizo tear gas zimenunuliwa kwa kodi zao so acha wazitumieWamemiss tear gas hao.
Ha ha haa,hawa majirani ni kiboko.Wamesema hizo tear gas zimenunuliwa kwa kodi zao so acha wazitumie
Hakuna hata mwanajeshi mmoja anayemuunga mkono Raila. Hata kurutu! Mi naona wangeacha tu ajiapishe, afu tuone kioja kitakachofata. Ataenda wapi baada ya hapo? Labda kwa mkewe akale sima kwa mchuzi wa dagaa.Kuna hatari inakuja maana serikali itawakamata kwa uhaini, then what next? Jeshi linaweza kugawanyika, what next likigawanyika? Raila anaungwa mkono na Jeshi? if yes, what next? Kenyatta anaungwa mkono na jeshi, if yes, what next?
Kwa akili zako matope sawaNASA wameamua Raila aende jela.
Hatimaye Kenya itakua na marais wawili
Magufuli hawezani na Uchumi wa Kenya atazubaia maendeleo yaliyomo asahau kilichomleta Kisha angatuliwe upesi.Tubadilishe kwa miezi sita tu Rais Magufuli awe Rais wa Kenya na Rais Uhuru awe Rais wa Tanzania!!!!!![emoji1][emoji1][emoji1] Magufuli angewanyoosha wale ambao wanatamba eti wanaapisha Rais bandia wa Kenya na wakati huohuo Rais Uhuru angakuwa kana kwamba yupo likizo Tanzania. Pawe na MOU au Kagame Aende Kenya kuwa Rais kwa kipindi hicho na Uhuru awe Rais wa Rwanda!!!!