NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

NASA yaingia kwenye anga hewa la jua

THE SPIRIT THINKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2019
Posts
419
Reaction score
652
NASA Yaingia Katika Angahewa ya Jua kwa Mara ya Kwanza, Ikileta Uvumbuzi Mpya

Kwa mara ya kwanza katika historia, chombo cha anga kimegusa Jua. Uchunguzi wa NASA wa Parker Solar sasa umepitia anga ya juu ya Jua.

Hatua hiyo mpya inaashiria mafanikio kwa kifaa
.hiki cha Parker Solar Probe na hatua moja kubwa ya sayansi ya jua. Kama vile vile kutua kwa Mwezi kulivyoruhusu wanasayansi kuelewa jinsi ulivyoundwa, kugusa vitu vile vile Jua, itasaidia wanasayansi kufichua habari muhimu kuhusu nyota yetu iliyo karibu zaidi na ushawishi wake kwenye mfumo wa jua.

"Parker Solar Probe "kugusa anga Jua" ni wakati muhimu kwa sayansi ya jua na jambo la kushangaza," Thomas Zurbuchen, msimamizi msaidizi wa Kurugenzi ya Misheni ya Sayansi katika Makao Makuu ya NASA huko Washington. "Sio tu kwamba hatua hii muhimu inatupatia maarifa ya kina zaidi juu ya mageuzi ya Jua letu na athari zake kwenye mfumo wetu wa jua, lakini kila kitu tunachojifunza kuhusu nyota yetu pia hutufundisha zaidi juu ya nyota katika ulimwengu wote."

Inapozunguka karibu na uso wa jua, Parker anafanya uvumbuzi mpya ambao vyombo vingine vya angani vilikuwa mbali sana kuona, ikijumuisha kutoka ndani ya upepo wa jua - mtiririko wa chembe kutoka Jua ambazo zinaweza kutuathiri Duniani. Mnamo mwaka wa 2019, Parker aligundua kuwa miundo ya zig-zag ya sumaku kwenye upepo wa jua, inayoitwa switchbacks, ni nyingi karibu na Jua. Lakini jinsi na wapi wanaunda ilibaki kuwa siri.

Kifungu cha kwanza kupitia corona - na ahadi ya flybys zaidi zijazo - itaendelea kutoa data juu ya matukio ambayo haiwezekani kusoma kutoka mbali.

"Ikiruka karibu sana na Jua, Parker Solar Probe sasa inahisi hali katika safu inayotawaliwa na sumaku ya angahewa ya jua - corona - ambayo hatukuwahi kamwe," alisema Nour Raouafi, mwanasayansi wa mradi wa Parker katika Maabara ya Fizikia ya Johns Hopkins huko. Laurel, Maryland. "Tunaona uthibitisho wa kuwa kwenye corona katika data ya uwanja wa sumaku, data ya upepo wa jua, na picha kwenye picha. Tunaweza kuona chombo cha anga kikiruka kwenye miundo ya kona ambayo inaweza kuonekana hasa wakati wa kupatwa kwa jua.

NASA's PARKER SOLAR PROBE .☀️☀️

✍️Kama utakuwa na kumbukumbu basi bila shaka utakua unakumbuka vyema kipindi tunakijadili chombo cha NASA kiitwacho #Parker_solar_probe ambacho kilirushwa anga za mbali mnamo tar.12 August 2018 kwa ajili ya kwenda kulichunguza #Jua ☀️

✍️Wengi wao humu walidai kuwa hakitoweza kufika kwenye jua na kitaishia kuyeyuka kutokana na joto kali lililopo kwenye jua. Bila kujua kuwa chombo hiko kiliundwa madhubuti kwaajili ya kukabiliana joto la kutisha🌡️🔥

✍️Taarifa kamili ni kwamba chombo cha #Parker_solar_probe hatimae kimefanikiwa kuingia kwenye eneo la jua. Chombo hiko kimeweza kuingia kwenye atmosphere ya jua eneo liitwalo #Corona ambalo ndilo lina joto kali zaidi kuliko hata joto lililopo kwenye uso wa jua. Eneo la corona hufikia hadi nyuzi joto milioni 1, wakati uso wa jua hufikia nyuzi joto 5,500 tu.🌡️

✍️Hivyo chombo cha parker solar probe kimeendelea kuweka record za kibabe ya kuwa chombo chenye kasi kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa na mwanadamu ambapo huweza kwenda kasi ya Kilometer 194 kwa sekunde (194 Km/s) ama Kilometer 700,000 kwa saa ( 700,000 Km/h) 🛰️💨🔥

✍️Na sasa kimeweza kuweka record mpya ya chombo pekee na cha kwanza kilichoweza kukutana na jua uso kwa uso.☀️

✍️ Kumbuka sayari ya #Mercury ndio ilikua kitu pekee kilichopo karibu zaidi na jua kuliko kitu chochote ambapo ilikuwa umbali wa Km milioni 57 kutoka kwenye jua. Lakini #Parker_solar_probe imekuja kuvunja record hyo kwa kulisogelea jua kwa umbali wa Km milioni 8 tu kutoka kwenye jua.💥

✍️ Usikose kutazama kipande cha video iliyorekodiwa na chombo hiko kikiwa kwenye kasi kubwa kulisogelea jua. Video hyo utaipata kwenye link hapo juu 📹📺

By Bob Lee Kizigha
 
NASA's PARKER SOLAR PROBE .[emoji3508][emoji3508]

[emoji3578]Kama utakuwa na kumbukumbu basi bila shaka utakua unakumbuka vyema kipindi tunakijadili chombo cha NASA kiitwacho #Parker_solar_probe ambacho kilirushwa anga za mbali mnamo tar.12 August 2018 kwa ajili ya kwenda kulichunguza #Jua [emoji3508]

[emoji3578]Wengi wao humu walidai kuwa hakitoweza kufika kwenye jua na kitaishia kuyeyuka kutokana na joto kali lililopo kwenye jua. Bila kujua kuwa chombo hiko kiliundwa madhubuti kwaajili ya kukabiliana joto la kutisha[emoji2410][emoji91]

[emoji3578]Taarifa kamili ni kwamba chombo cha #Parker_solar_probe hatimae kimefanikiwa kuingia kwenye eneo la jua. Chombo hiko kimeweza kuingia kwenye atmosphere ya jua eneo liitwalo #Corona ambalo ndilo lina joto kali zaidi kuliko hata joto lililopo kwenye uso wa jua. Eneo la corona hufikia hadi nyuzi joto milioni 1, wakati uso wa jua hufikia nyuzi joto 5,500 tu.[emoji2410]

[emoji3578]Hivyo chombo cha parker solar probe kimeendelea kuweka record za kibabe ya kuwa chombo chenye kasi kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa na mwanadamu ambapo huweza kwenda kasi ya Kilometer 194 kwa sekunde (194 Km/s) ama Kilometer 700,000 kwa saa ( 700,000 Km/h) [emoji2930][emoji100][emoji91]

[emoji3578]Na sasa kimeweza kuweka record mpya ya chombo pekee na cha kwanza kilichoweza kukutana na jua uso kwa uso.[emoji3508]

[emoji3578] Kumbuka sayari ya #Mercury ndio ilikua kitu pekee kilichopo karibu zaidi na jua kuliko kitu chochote ambapo ilikuwa umbali wa Km milioni 57 kutoka kwenye jua. Lakini #Parker_solar_probe imekuja kuvunja record hyo kwa kulisogelea jua kwa umbali wa Km milioni 8 tu kutoka kwenye jua.[emoji95]

[emoji3578] Usikose kutazama kipande cha video iliyorekodiwa na chombo hiko kikiwa kwenye kasi kubwa kulisogelea jua. Video hyo utaipata kwenye link hapo juu [emoji329][emoji342]

By Bob Lee Kizigha
Halafu kuna mtu kutoka Buguruni akishiba ugali na dagaa anaiona Marekani iko chini eti China ipo juu, Sayansi ya hicho chombo ,ni kubwa ya hali ya juu,Urusi ijipange sana
 
Mchina siyo mchezo, tambo alizopiga kwa muda mfupi zinawaogopesha sana. Sasa hivi anahangaika kumwekea vikwazo kwenye kila kampuni anayoona ni tishio kwake nimeshangaa hadi kampuni ya drones ya DJI kaiwekea vikwazo, kuna kampuni inajishughulisha na mambo ya quantum computers nayo kaipiga vikwazo akidai ikifanikiwa itatumika kuhack system za wamarekani.
Week mbili nyuma mchina katest chombo cha anga ambacho kiliwashangaza wamarekani kwasababu kilirudi kikiwa speed kali sana na bado kikawa maneuvered tofauti na chombo chochote ambacho wamewahi kuwa nacho.
Kuja kushangaa kumbe ni version ya chombo ambacho mchina flani aliwahi fanya kazi NASA miaka ya 90 alikidesign kwaajili ya NASA, design yake wakaikataa. Kwenye miaka ya 2000s akarudi kwao akawapa design wakaimodify ndicho sasa hicho chombo kimefanyiwa testing kwa mara ya kwanza.
Usisahau kuwa mchina ni one man show, yeye ndiye nchi pekee mwenye space station ya pekee yake, ukiachilia mbali marekani, amefanikiwa kushusha chombo Mars kama one man show, wakati Ulaya wanashirikiana nchi kibao.
 
NASA's PARKER SOLAR PROBE .☀️☀️

✍️Kama utakuwa na kumbukumbu basi bila shaka utakua unakumbuka vyema kipindi tunakijadili chombo cha NASA kiitwacho #Parker_solar_probe ambacho kilirushwa anga za mbali mnamo tar.12 August 2018 kwa ajili ya kwenda kulichunguza #Jua ☀️

✍️Wengi wao humu walidai kuwa hakitoweza kufika kwenye jua na kitaishia kuyeyuka kutokana na joto kali lililopo kwenye jua. Bila kujua kuwa chombo hiko kiliundwa madhubuti kwaajili ya kukabiliana joto la kutisha🌡️🔥

✍️Taarifa kamili ni kwamba chombo cha #Parker_solar_probe hatimae kimefanikiwa kuingia kwenye eneo la jua. Chombo hiko kimeweza kuingia kwenye atmosphere ya jua eneo liitwalo #Corona ambalo ndilo lina joto kali zaidi kuliko hata joto lililopo kwenye uso wa jua. Eneo la corona hufikia hadi nyuzi joto milioni 1, wakati uso wa jua hufikia nyuzi joto 5,500 tu.🌡️

✍️Hivyo chombo cha parker solar probe kimeendelea kuweka record za kibabe ya kuwa chombo chenye kasi kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa na mwanadamu ambapo huweza kwenda kasi ya Kilometer 194 kwa sekunde (194 Km/s) ama Kilometer 700,000 kwa saa ( 700,000 Km/h) 🛰️💨🔥

✍️Na sasa kimeweza kuweka record mpya ya chombo pekee na cha kwanza kilichoweza kukutana na jua uso kwa uso.☀️

✍️ Kumbuka sayari ya #Mercury ndio ilikua kitu pekee kilichopo karibu zaidi na jua kuliko kitu chochote ambapo ilikuwa umbali wa Km milioni 57 kutoka kwenye jua. Lakini #Parker_solar_probe imekuja kuvunja record hyo kwa kulisogelea jua kwa umbali wa Km milioni 8 tu kutoka kwenye jua.💥

✍️ Usikose kutazama kipande cha video iliyorekodiwa na chombo hiko kikiwa kwenye kasi kubwa kulisogelea jua. Video hyo utaipata kwenye link hapo juu 📹📺

By Bob Lee Kizigha
Aksante mkuu ntawafatlia zaidi hawa jamaa huwa wananishangaza sana
 
NASA's PARKER SOLAR PROBE .[emoji3508][emoji3508]

[emoji3578]Kama utakuwa na kumbukumbu basi bila shaka utakua unakumbuka vyema kipindi tunakijadili chombo cha NASA kiitwacho #Parker_solar_probe ambacho kilirushwa anga za mbali mnamo tar.12 August 2018 kwa ajili ya kwenda kulichunguza #Jua [emoji3508]

[emoji3578]Wengi wao humu walidai kuwa hakitoweza kufika kwenye jua na kitaishia kuyeyuka kutokana na joto kali lililopo kwenye jua. Bila kujua kuwa chombo hiko kiliundwa madhubuti kwaajili ya kukabiliana joto la kutisha[emoji2410][emoji91]

[emoji3578]Taarifa kamili ni kwamba chombo cha #Parker_solar_probe hatimae kimefanikiwa kuingia kwenye eneo la jua. Chombo hiko kimeweza kuingia kwenye atmosphere ya jua eneo liitwalo #Corona ambalo ndilo lina joto kali zaidi kuliko hata joto lililopo kwenye uso wa jua. Eneo la corona hufikia hadi nyuzi joto milioni 1, wakati uso wa jua hufikia nyuzi joto 5,500 tu.[emoji2410]

[emoji3578]Hivyo chombo cha parker solar probe kimeendelea kuweka record za kibabe ya kuwa chombo chenye kasi kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa na mwanadamu ambapo huweza kwenda kasi ya Kilometer 194 kwa sekunde (194 Km/s) ama Kilometer 700,000 kwa saa ( 700,000 Km/h) [emoji2930][emoji100][emoji91]

[emoji3578]Na sasa kimeweza kuweka record mpya ya chombo pekee na cha kwanza kilichoweza kukutana na jua uso kwa uso.[emoji3508]

[emoji3578] Kumbuka sayari ya #Mercury ndio ilikua kitu pekee kilichopo karibu zaidi na jua kuliko kitu chochote ambapo ilikuwa umbali wa Km milioni 57 kutoka kwenye jua. Lakini #Parker_solar_probe imekuja kuvunja record hyo kwa kulisogelea jua kwa umbali wa Km milioni 8 tu kutoka kwenye jua.[emoji95]

[emoji3578] Usikose kutazama kipande cha video iliyorekodiwa na chombo hiko kikiwa kwenye kasi kubwa kulisogelea jua. Video hyo utaipata kwenye link hapo juu [emoji329][emoji342]

By Bob Lee Kizigha
Ni upuuzi uliopiliza kuamini uongo huu . Hakuna chombo chochote kilichowahi fika kwenye jua halafu unatutajia nyuzi joto zake ulipima kwa kutumia nini? Km 7Mln umezipimaje wakati hakuna chombo kilichowahi kufika kwenye jua?, Ni chuma au Madini gani hayo yatayoweza kuhimili Moto Mkali namna ile kutoka kwenye jua na yanapatikana sehemu gani Duniani? . Uletewa picha za kutengeneza kwenye computer nawe unafumvazwa akili unaamini. Amka Mwana fikra pevu waza bila box usiwaze nje ya box.
 
Watu wanaoishi kwa fantasy aka dini huu uzi hauwafai. Ile ya kwamba tumeumbwa kwa siku 7 kidogo mkae pembeni maana hamtaelewa sababu ya kuamini kitabu cha hadithi kisichokuwa na facts
 
Amka waza mbali sana Nguvu za Roho ni kubwa zaidi kuliko sayansi. Dunia inawaza kutumia lisaa limoja kutoka Londoni to Nairobi wakati Ulimwengu wa Roho unayafanya hayo karne na karne. Leo ulimwengu unatumia simu na computer wakati enzi hizo karne za nyuma pale sitimbi unakwenda kwa Bibi anakuonesha Walikuusumbua kukudhuru kupitia chungu tu chenye maji na akupa maelekezo kachinje ng'ombe fukikia pale biashara itajaa wateja na ukitekeleza kweli inakuwa. Acha kufananisha Elimu ya Ulimwengu wa Roho na Ulimwengu huu wa Sayansi. Sayansi imeachwa Mbali sana. DNA ya ulimwengu wa kiroho unachukuliwa Mchanga ulioukanyaga tu tena ukiwa umevaa kiatu unatosha kukutibu au kukudhuru lakini ulimwengu wa Sayansi lazima waguse mwili wako.
 
Huwa najiuliza sanaa aiseee.
 
Back
Top Bottom