Kama walivyotugundua sisi bara la afrika, wakaja kufuta dini zetu, tamaduni zetu, lugha zetu vyakula vyetu , mfumo wetu wa uongozi wakatuletea vyao wakatutawala na kutuuza kama mifugo huku tukibeba rasilimali zetu kuwapelekea Vivyo hivyo wanataka kugundua wengine maana sisi tumeanza kuwa wajanja