kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
- Thread starter
-
- #61
We ni me au keNa wewe ulitakiwa kuwa mmoja wa wale walioitwa Jana kwenda kuripoti kwa kamanda Leo.Hicho kichwa kimajaa vumbi.
real am not defining we need to enjoy every thing sometime might not be their .. see you in another stupidity thread and i will start following uHahaha....i can see you are trying to kind of defending stupidity at any cost, let's be serous folks!
ha hahaha hawezi onaNyani haoni kundule...anawasema wenzake wakati yumo humu humu kwenye huu uzi.hahahaha
When stupidity hit the right personreal am not defining we need to enjoy every thing sometime might not be their .. see you in another stupidity thread and i will start following u
i think right people including youWhen stupidity hit the right person
Mimi ni ikonongo &ikongosiWe ni me au ke
Nenda tu moja kwa moja kwenye mada,, mwambie nataka nikugegede!!Habari za Leo wanajamii forums, moja kwa moja kwenye hoja, ni hivi Mimi natoka dar kwenda mwanza kesho kwa usafiri wa basi, sasa hapa nimekata tiketi siti moja na manzi mmoja mzuri sana sema Mimi nipo upande wa dirishani, sasa sitaki nikae kimya nataka kidogo nimrushie neno au vijimaneno vya hapa na pale, sasa mazee hasa kwa wenye uzoefu nianze na neno gani baada ya salamu ili nisimkere mapema? Ili angalau tukifika mahala pa basi kulala awe ameshanielewa, Mimi nimepanga yeye nimpe akae upande wa dirishani ili maongezi yaende vizuri, karibuni mtiririke, mstukane lakini,
Mkuu usihangaike sana na chizi.......acha madaktari wa milembe waje wafanye kazi yao!!!! Humu kuna watoto wengi sana wanahitaji counsellingInaonekana wewe uko usingizini unaota, ukiamka utatapika sana. Unatoka dar kwenda mwanza kesho, umekata ticket siti moja na manzi. sasa hiyo siti moja mtakaa kwa zamu au.
Kwa alie elewa aje atafsiri kwa kiswahili huu uzi sijui ni fumbo au. LAKINI SAWA TU.
Hawezi kujiona mpaka awe na kioo...i think right people including you
Sasa hapo si ataniona mwenda wa zimu?Nenda tu moja kwa moja kwenye mada,, mwambie nataka nikugegede!!
sijui kuna mijitu inatokaga wapi sasa huku chit chat umefata nini???????When stupidity is discussed by the so called great thinkers.
The graviest danger of being stupid is that you don't even know that you're freaking stupidsijui kuna mijitu inatokaga wapi sasa huku chit chat umefata nini???????
muwe mnabaki kwenye majukwaa yenu mpeane stress huko huko..
yaani mtu anachukulia maisha serious as if they will get out of it alive πππππππ, sio kila muda wa kujadili mambo makubwa tu ukichoka unapita majukwaa pendwa kama haya unacheka kidogo
Hahahahi think right people including you
[emoji23]Hahahah