Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

Nasafiri kwa basi kutoka Dar kwenda mkoani Mwanza, nimepangwa siti moja na mtoto mmoja mkali sana!

Subiri asinzie, akiamka anza story Kwamba alijamba sana aliposinzia. Nafikiri huo ni mwanzo mzuri
 
Hahaha....i can see you are trying to kind of defending stupidity at any cost, let's be serous folks!
real am not defining we need to enjoy every thing sometime might not be their .. see you in another stupidity thread and i will start following u
 
mzee huogopi ukimwi? daaah hata condom mimi siiamini, jichunge
 
Habari za Leo wanajamii forums, moja kwa moja kwenye hoja, ni hivi Mimi natoka dar kwenda mwanza kesho kwa usafiri wa basi, sasa hapa nimekata tiketi siti moja na manzi mmoja mzuri sana sema Mimi nipo upande wa dirishani, sasa sitaki nikae kimya nataka kidogo nimrushie neno au vijimaneno vya hapa na pale, sasa mazee hasa kwa wenye uzoefu nianze na neno gani baada ya salamu ili nisimkere mapema? Ili angalau tukifika mahala pa basi kulala awe ameshanielewa, Mimi nimepanga yeye nimpe akae upande wa dirishani ili maongezi yaende vizuri, karibuni mtiririke, mstukane lakini,
Nenda tu moja kwa moja kwenye mada,, mwambie nataka nikugegede!!
 
nyie ndo mnasababishaga ajali watu wanaomba mungu nyie mnataka mipango yakumuasi mungu kwenye safar nyambafu
 
mwambie ww ni mbaya sana na unanuka kwapa
 
Inaonekana wewe uko usingizini unaota, ukiamka utatapika sana. Unatoka dar kwenda mwanza kesho, umekata ticket siti moja na manzi. sasa hiyo siti moja mtakaa kwa zamu au.
Kwa alie elewa aje atafsiri kwa kiswahili huu uzi sijui ni fumbo au. LAKINI SAWA TU.
Mkuu usihangaike sana na chizi.......acha madaktari wa milembe waje wafanye kazi yao!!!! Humu kuna watoto wengi sana wanahitaji counselling
 
Anza na neno lolote
atakubali tu, kipindi tulichopo hakuna pesa. Jiandae zikutoke tu kama utakuwa unafikiria papuchi yake. Safari njema.
 
acha kutuchanganya, unakata tiketi ya kesho alafu umekaaa leo then umekata tiketi moja na ya binti acha methali izooooooooo
 
When stupidity is discussed by the so called great thinkers.
sijui kuna mijitu inatokaga wapi sasa huku chit chat umefata nini???????
muwe mnabaki kwenye majukwaa yenu mpeane stress huko huko..

yaani mtu anachukulia maisha serious as if they will get out of it alive 😛😛😛😛😀😀😀, sio kila muda wa kujadili mambo makubwa tu ukichoka unapita majukwaa pendwa kama haya unacheka kidogo
 
sijui kuna mijitu inatokaga wapi sasa huku chit chat umefata nini???????
muwe mnabaki kwenye majukwaa yenu mpeane stress huko huko..

yaani mtu anachukulia maisha serious as if they will get out of it alive 😛😛😛😛😀😀😀, sio kila muda wa kujadili mambo makubwa tu ukichoka unapita majukwaa pendwa kama haya unacheka kidogo
The graviest danger of being stupid is that you don't even know that you're freaking stupid
 
Back
Top Bottom