Naona huwajui wanawake huyu jamaa akilalaAnaonyesha kujari hataki mangonjwa kuwa mwaminifu Kama mkeo akizudiwa anatumia condom na heshima yake haibanduki milele .
Mpende Sana mkeo huyo Ni wife material trust me
Sent using Jamii Forums mobile app
nae asifunge jicho moja. Anaweza fanyiwa kitu mbaya maana hujui why anafanya hivyo either hampendi mmewe wala hana wivu kwa lolote atakalofanya sawa tu, au ana yeye anagawa sana nje au ana mtu wake anayempenda