LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Natumia mashine ya Kisasa Kabisa Kwaajili ya Kusafisha Taa za Magari na kuzirudisha katika Ubora wake Kwa gharama nafuu kabisa ya Shilingi za Kitanzania Elfu 35 Tu.
Tarajia Matokeo haya
Taa kurudi kwenye Hali yake ya Upya
Kupata Mwanga zaidi wakati wa Usiku
Hudumu kwa Muda wa Miaka Miwili na kuendelea
Uokoa Gharama za Kununua Taa Mpya/Nyingine
Uipa Gari yako Muonekano unaovutia
Napatikana Tabata Segerea Ndani ya Eneo la Kituo cha Daladala Segerea Mwisho na Pia Naweza kukufuata Ulipo Chaguo Linabaki Kuwa Lako.
Kwa Mawasiliano 0712 390 200
I am the best to give you the Best Service in Town
Tufollow insta @tanzania_headlight_specialist