Asante sana Kwa Ushauri wako Na nitalifanyia kazi Mungu AkubarikiIngia hapa www.ajiras.com, wateja watapatikana tu.
Itakusaidia kuweza kupata wateja na wateja hao kuleta wateja wengine. Icheki.
Unajua kitu kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko Kutaka kuonekana mjuaji wakati hufahamu.Unataka Video wakati Video imewekwa kwenye post hii inaonyesha kuwa Umekimbilia Kucomment bila kusoma au Kuangalia content iliyowekwa lakini Asante kwa Ushauri wako Karibu uwe mteja au wape taarifaHuna lolote maneno tu. Tena nyinyi watu ni matapeli wa hatari. Tuwekee video uliyo safisha wewe hapa Bongo tuamini usemacho usilete bla blaa hapa mambo ya gagari tuta kusukuma ndani