Nilikua amazed siku nilipojua tootpaste inaweza kusafisha kioo cha taa ya gari kwa ufanisi
toothpaste iyoiyo hutumika kusafishia pasi(inaondoa ule utando kwenye ile shiny surface)Nilikua amazed siku nilipojua tootpaste inaweza kusafisha kioo cha taa ya gari kwa ufanisi
Hii inafanyikaje mkuu maana tumezoea panadol lakini uchafu mwingine umekuwa sugutoothpaste iyoiyo hutumika kusafishia pasi(inaondoa ule utando kwenye ile shiny surface)
mnatuibiaga sana. kumbe colgate ya sh 1500 unafanya kazi sawaEndelea Kutumia hio dawa ya mswaki lakini hupati Mng'ao unaopatikana kwa kutumia teknolojia hii ya Kisasa Kabisa