Mikwara Ya Andunje
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 391
- 804
View attachment 881562
Habari zenu wakuuu
Mimi ni bilionea kutoka Bunju.
Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza
Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za vocha za buku kumikumi,pia nafikiria kufunga Wi Fi Tanzania nzima
Kwa wale wanaohitaji pesa ya matibabuau biashara pia wanione nawapapatia kiasi chochote kisichozidi bilioni 1
Kwa wale wanaohitaji ajira sijawasahau maana hekalu langu hapa Bunju wanahitajika mashambaboi,mahausigeli,wapishi na vijana wa kulisha mbwa wangu wa Kijerumani
Jwa wake wanaoshindia mlo mmoja nawakaribisha kwenye hekalu langu kila siku natandika jamvi nje na kulisha watu
Kwa wale waliozaa na kutelekeza watoto wawalete kwangu Bunju niwalishe,kunywa na kunya bure kabisa yaani niishi nao na kuwasomesha hadi chuo kikuu
Kwa wale wanaoishi maeneo yenye shida ya usafiri nao sijawaasha nimeshaleta bandarini helikopta 100 kwa ajili ya kuwaoeleka makazini na kuwarudisha.. ....masharti ya huu usafiri ni kwamba mteja atatakiwa kuwa na sarafu ya shilingi 1 mfukoni ndio nauli yaani hatupokei hela yoyote isipokuwa shilingi 1.....ukitulipa pesa za aina nyingine mfano 5/=,10/=,20/=,50/=,100/=,200/=,500/=,1000/=,2000/=,5000/= na 10000/= hatuzipokei wala kukupa huduma