Mikwara Ya Andunje
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 391
- 804
- Thread starter
- #41
Nitakutumia asubuhi US dola 500Nahitaji only 500k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutumia asubuhi US dola 500Nahitaji only 500k
Wengi sana mkuuMpaka sasa hivi ni mademu wangapi wamekuja pm mkuu?
wewe ni bitoz kwa id mpya. ngoja niishie hapaView attachment 881562
Habari zenu wakuu?
Ule usemi kwamba ni vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano umenigusa maana mimi ni bilionea kutoka Bunju.
Basi nimeamua noongeze nguvu kuwasaidia maskini na wasiojiweza
Wale wanaotumia freebasics msipate tabu mkiniquote popote pale nawaachia token za vocha za buku kumikumi,pia nafikiria kufunga Wi Fi Tanzania nzima
Kwa wale wanaohitaji pesa ya matibabuau biashara pia wanione nawapapatia kiasi chochote kisichozidi bilioni 1
Kwa wale wanaohitaji ajira sijawasahau maana hekalu langu hapa Bunju wanahitajika mashambaboi,mahausigeli,wapishi na vijana wa kulisha mbwa wangu wa Kijerumani
Jwa wake wanaoshindia mlo mmoja nawakaribisha kwenye hekalu langu kila siku natandika jamvi nje na kulisha watu
Kwa wale waliozaa na kutelekeza watoto wawalete kwangu Bunju niwalishe,kunywa na kunya bure kabisa yaani niishi nao na kuwasomesha hadi chuo kikuu
Kwa wale wanaoishi maeneo yenye shida ya usafiri nao sijawaasha nimeshaleta bandarini helikopta 100 kwa ajili ya kuwaoeleka makazini na kuwarudisha.. ....masharti ya huu usafiri ni kwamba mteja atatakiwa kuwa na sarafu ya shilingi 1 mfukoni ndio nauli yaani hatupokei hela yoyote isipokuwa shilingi 1.....ukitulipa pesa za aina nyingine mfano 5/=,10/=,20/=,50/=,100/=,200/=,500/=,1000/=,2000/=,5000/= na 10000/= hatuzipokei wala kukupa hudumaView attachment 881588
Karibuni
Atakua anakaa Bunju Beach huyu karibia na Moga International SchoolAsanteee unakaa bunju A au bunju B vipi au Boko mianzini unakaa usalama au kwa jeshi?
Bora umeishia hapo nadikiri hujapata kifungua kinywawewe ni bitoz kwa id mpya. ngoja niishie hapa
Hahahahahaha itakuwaAtakua anakaa Bunju Beach huyu karibia na Moga International School
Barida tu kubabakeDogo una avatar lainilaini
Hats Mimi nilikua nahisi hivi kumbe sipo pekee anguwewe ni bitoz kwa id mpya. ngoja niishie hapa
Mmetumiwa sasa[emoji23][emoji23]
Badobado, nadhani majukumu yamembana kidogo hivyo kakosa muda wa kwenda BankMmetumiwa sasa
Badobado, nadhani majukumu yamembana kidogo hivyo kakosa muda wa kwenda Bank
Bado tungali na matumaini ndugu yangu
Haya ni madhara ya kutopata lunch njoo bunju ule mlo kamiliHats Mimi nilikua nahisi hivi kumbe sipo pekee angu
Nilienda Sauzi kuchukua madini kwenye mgodi wanguSawa subirieni bilionea yupo busy