Nasaka mume

Nasaka mume

Jamani watu kwa kufukua makaburi hamjambo....khaaaa!!!!
Yaani nilichoandika kwenye lile swali kilikuwa cha JLW... Yaani nilipoona ni LOVE CONNECT wallah nikaediti fasta... BACK TO MY QUESTION... Ulimapata? Usijali kama ni kabuiri tunafukua au ndo tunazika upya....
 
Hapa naona unazika upya aisee
 
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.
Hahaha madam B.. ww tena? Njoo inbox
 
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.
Hadi leo hujafanikiwa?
 
Kwa Ninayoyaona Humu Mume wako atapata shida sana, anyways Bahati Njema!
 
Back
Top Bottom