Nasaka mume

Nasaka mume

tigo je unatoa?. Ni pm kama ni mpenz wa iyo k2 then 2taongea vzur. Mana cfa zote nnazo
 
Yaani....nini kinafuata? tusubiri tusome....Mwaka 2012 dunia yako,chagua lako..chagua.....:yell::yell:

halafu ni mimi na wewe tu
ndo tunaona 'haya maendeleo'
wengine its normal..
i missed you...
 
halafu ni mimi na wewe tu
ndo tunaona 'haya maendeleo'
wengine its normal..
i missed you...

Utu uzima huu The Boss...tumeondoka kabisa kwenye factor ya kumpenda mtu kuelekea kwenye kutaka specific features kutoka kwa mtu...its ok...but serious,kama ukubwa wa kiuongo ndo unapewa priority sijui mahusiano yanaelekea wapi....!! This is not normal,maisha ya kwenye porn movie yanafanya watu kutamani vitu vya ajabu.

I missed you more,nakuona kwa nadra tangu nimerejea...lol
 
Achaa utani kam uko siliasi ongea naomba namba yako haraka twende tukapime
 
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.

Mashine kubwa inakaaje kwenye suruari???? be specific bwana. Alafu kwasasa utapata taabu kidogo kumpata mtu wa kukuweka kinyumba kwasababu imegundulika kwamba mnasukuma wenzenu mpaka wafe
 
He he he he....jitokeze bana....usione sooo....nimerudi bana,mambo yenyewe si unayaona??? :shock: :car:
wenye vibamia wote tutawajua hapa leo kelele mingii , tuangalie tu michele .....teh teh
 
Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.

Weye wataka uume au mume? Watu wa qualities hizo tuko wachache and occupied already!! Sawa na kuatafuta shamba la kununua Oysterbay
 
Back
Top Bottom