NASAMS (Advanced Air Defense System) toka Marekani ilikuwa imepiga usingizi au?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Marekani ilijinasibu kupeleka mfumo wake wa ulinzi wa anga nchini ukraine kwa mbwembwe na watu wakaamini kuwa sasa suluhisho la missile za urusi limepatikana!

Kinyume chake tarehe 15/11/2022 Ukraine na wapambe wake wanalia kuwa nusu ya ya mifumo ya umeme imehariwa baada ya Urusi kushambulia kwa nguvu zaidi tangu vita vilipoanza na ikarusha missiles 100 kwa siku moja!

Sasa tunajiuliza huu mfumo wa ulinzi wa anga NASAMS ulikuwa umesinzia au?

Ukraine says almost half of the country’s power infrastructure needs repair following waves of Russian aerial attacks that have disrupted electricity supplies for millions of Ukrainians.

“Only on November 15, Russia fired about 100 missiles at Ukrainian cities.

Nearly half of our energy system has been disabled,” Prime Minister Denys Shmygal said while appealing to Ukraine’s European allies for support.
 
Baada ya kichapo hicho hata jenerali mkuu wa majeshi ya Marekani amesema tumaini pekee la ukraine ni suluhisho la kisiasa kupitia mazungumzo ya amani!! Zile mbwembwe kuwa tutaishinda Urusi kwenye uwanja wa vita kwishney. Zelensky ameambiwa wazi kwa lugha ya kidiplomasia kuwa UWEZEKANO WA KUISHINDA URUSI NI MDOGO SANA!! Kwa maneno mengine alikuwa anaambiwa utasubiri sana kuishinda Urusi,

Top US general warns of reality on the ground in Ukraine​

Joint Chiefs of Staff Chairman Mark Milley says Kiev can only hope for a political solution
Top US general warns of reality on the ground in Ukraine

General Mark Milley © AP Photo / Olivier Matthys
Ukraine’s chances of a near-term military victory over Russia are not high, top US general Mark Milley has cautioned. He noted that despite Kiev’s recent advances on the battlefield and the capture of the city of Kherson, Moscow still has a significant combat presence in the country.
Speaking at a news conference at the Pentagon on Wednesday, Milley stated that “the probability of a Ukrainian military victory defined as kicking the Russians out of all of Ukraine to include what they define or what the claim is Crimea, the probability of that happening anytime soon is not high, militarily.”

Sasa ukiona baba yako uliyekuwa unamtegemea anakuambia kuachana na kupigana ujue maji yamezidi unga!! Ukileta ubishi anakuacha ugongwe vizuri!!
 
Kiwanda cha kutengeneza makombora kiliteketezwa, pia ghala la silaha zilizotoka nchi za magharibi ziliharibiwa!

Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military​

Russian missiles also hit an ammo depot with “artillery pieces supplied by Western nations”
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military

FILE PHOTO. A Russian missile launch. © Russian Ministry of Defense
Russian strikes have hit a number of key targets in Ukraine, with a facility used for producing missiles among the infrastructures destroyed, the Russian Defense Ministry reported on Friday.
The Russian military delivered “a focused strike with long-range precision weapons fired from air, sea and surface platforms” on targets in Ukraine, the ministry said in a briefing. It described the attacked sites as belonging to Kiev’s “military control system, military-industrial complex and associated fuel and energy infrastructure.”
Among the targets hit were “facilities used for manufacturing rockets” and an ammo depot with “artillery pieces supplied by Western nations and prepared for delivery to troops.” The strikes disrupted the Ukrainian army’s logistics, the ministry assessed.
The Ukrainian gas giant Naftogaz reported on Thursday that Russia had attacked gas extraction facilities during the Thursday raid, with at least two sites destroyed and others damaged. Ukrainian Prime Minister Denis Shmigal reported a strike at the missile producer Yuzhmash in the city of Dnepr in the south-eastern part of Ukraine.
 
[emoji117]Hii Dunia Ina Siri kama taulo la guest,tulishawaeleza humu mtaalamu wa kulidhibiti anga Duniani ni Russia,wakakebehi,tukawapa mfano kuwa wanaotaka kwenda anga za mbali engine lazima wakodi Urusi,wakarusha ngumi hewani[emoji1787]
 
sasa kwann hawakujilinda kwenye anga la kherson mpk wanafurushwa?
 
Sasa tunajiuliza huu mfumo wa ulinzi wa anga NASAMS ulikuwa umesinzia au?
[emoji117]Hii Dunia Ina Siri kama taulo la guest,tulishawaeleza humu mtaalamu wa kulidhibiti anga Duniani ni Russia,wakakebehi,tukawapa mfano kuwa wanaotaka kwenda anga za mbali engine lazima wakodi Urusi,wakarusha ngumi hewani[emoji1787]
Zile ni toys Tu Kwa warusi
 
Kuna NASAMS mbili tu Ukraine nzima (nchi yenye km za mraba zaidi ya laki tano).NASAMS ni medium range air defense sio long range. Kwahiyo ulitegemea NASAMS mbili zilinde anga lote la Ukraine?!
Mbona Belgorod ipo hapo mpakani na Ukraine tena ni nyumbani kabisa kwa Urusi lakini hua inapigwa Makombora (na mara nyingine drones) na hatusikii yakitunguliwa?! Nakumbuka Ukraine iliwahi ingiza helicopters zake mpaka hapo Belgorod na kulipua matanki ya Mafuta lakini hakuna helicopter hata moja iliyotunguliwa,je air defenses zilikua wapi?!

Russia ambayo Putin alikua akiisifia ina impenetrable air defense systems Leo hii inashindwa kutungua GMLRS kama Himars [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
 
Hakuna air defence system duniani ambayo ni 100% foolproof na ndio maana hata Russia yenyewe Ukraine wamekuwa wakiwarushia makombora na kuwapiga vizuri tu, hivyo hamna cha ajabu hapo.

Lakini kinachotushangaza zaidi ni Russia kushindwa kabisa kumaliza hii vita na karibu mwaka unaenda kwisha na hakuna kabisa dalili ya wao kufanikisha lengo lao pamoja na kuishiwa wanajeshi na kupeleka hadi wafungwa vitani. Very shameful indeed.
 
Baada ya kichapo hicho hata jenerali mkuu wa majeshi ya Marekani amesema tumaini pekee la ukraine ni suluhisho la kisiasa kupitia mazungumzo ya amani!! Zile mbwembwe kuwa tutaishinda Urusi kwenye uwanja wa vita kwishney. Zelensky ameambiwa wazi kwa lugha ya kidiplomasia kuwa UWEZEKANO WA KUISHINDA URUSI NI MDOGO SANA!! Kwa maneno mengine alikuwa anaambiwa utasubiri sana kuishinda Urusi,

Top US general warns of reality on the ground in Ukraine​

Joint Chiefs of Staff Chairman Mark Milley says Kiev can only hope for a political solution
Top US general warns of reality on the ground in Ukraine

General Mark Milley © AP Photo / Olivier Matthys
Ukraine’s chances of a near-term military victory over Russia are not high, top US general Mark Milley has cautioned. He noted that despite Kiev’s recent advances on the battlefield and the capture of the city of Kherson, Moscow still has a significant combat presence in the country.
Speaking at a news conference at the Pentagon on Wednesday, Milley stated that “the probability of a Ukrainian military victory defined as kicking the Russians out of all of Ukraine to include what they define or what the claim is Crimea, the probability of that happening anytime soon is not high, militarily.”

Sasa ukiona baba yako uliyekuwa unamtegemea anakuambia kuachana na kupigana ujue maji yamezidi unga!! Ukileta ubishi anakuacha ugongwe vizuri!!
Tena sio baba Yao,Bali ni Jemedari wa katika nchi ya Baba Yao.
Maana Kuna wanasiasa na wataalamu.Huyu sio mwanasiasa,huyu ni mtaalamu mbobevu kijeshi.
Sasa huyu anayeongea ni mtaalam wa masuala ya kijeshi,silaha,mapigano,mbin,Ujasusi na ana taarifa zote za silaha ulimwenguni wa juu kabisa kutoka katika taifa kubwa kabisa linaloisaidia Ukraine ametanabahisha kua Ukraine haitaishinda Urusi Huku akijua kabisa kua Ukraine inapata misaada kutoka west wote,lakini jemedari kama mtaalam wa masuala ya vita na mapigano ameona hakuna hata nafasi finyu Ukraine kumshinda Dubu 🐻.
Leo hii kuna vijiwatu humu jukwaani vinajiganya vinajuuuua halafu vinasema Urusi ni Supa pawa wa mchongo, na vinapeana Like kibao.
Aisee! "uswahilini Kuna vituko."
 
Tena sio baba Yao,Bali ni Jemedari wa katika nchi ya Baba Yao.
Maana Kuna wanasiasa na wataalamu.Huyu sio mwanasiasa,huyu ni mtaalamu mbobevu kijeshi.
Sasa huyu anayeongea ni mtaalam wa masuala ya kijeshi,silaha,mapigano,mbin,Ujasusi na ana taarifa zote za silaha ulimwenguni wa juu kabisa kutoka katika taifa kubwa kabisa linaloisaidia Ukraine ametanabahisha kua Ukraine haitaishinda Urusi Huku akijua kabisa kua Ukraine inapata misaada kutoka west wote,lakini jemedari kama mtaalam wa masuala ya vita na mapigano ameona hakuna hata nafasi finyu Ukraine kumshinda Dubu [emoji199].
Leo hii kuna vijiwatu humu jukwaani vinajiganya vinajuuuua halafu vinasema Urusi ni Supa pawa wa mchongo, na vinapeana Like kibao.
Aisee! "uswahilini Kuna vituko."
Kamikaze zenyewe zinawaingiza hasara tupu. Gharama ya missile moja ya Nassam ni angalau dola 1.5 milioni wakati kamikaze moja ni angalau dola elfu 20
 
Kiwanda cha kutengeneza makombora kiliteketezwa, pia ghala la silaha zilizotoka nchi za magharibi ziliharibiwa!

Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military​

Russian missiles also hit an ammo depot with “artillery pieces supplied by Western nations”
Ukrainian missile-production facility destroyed – Russian military

FILE PHOTO. A Russian missile launch. © Russian Ministry of Defense
Russian strikes have hit a number of key targets in Ukraine, with a facility used for producing missiles among the infrastructures destroyed, the Russian Defense Ministry reported on Friday.
The Russian military delivered “a focused strike with long-range precision weapons fired from air, sea and surface platforms” on targets in Ukraine, the ministry said in a briefing. It described the attacked sites as belonging to Kiev’s “military control system, military-industrial complex and associated fuel and energy infrastructure.”
Among the targets hit were “facilities used for manufacturing rockets” and an ammo depot with “artillery pieces supplied by Western nations and prepared for delivery to troops.” The strikes disrupted the Ukrainian army’s logistics, the ministry assessed.
The Ukrainian gas giant Naftogaz reported on Thursday that Russia had attacked gas extraction facilities during the Thursday raid, with at least two sites destroyed and others damaged. Ukrainian Prime Minister Denis Shmigal reported a strike at the missile producer Yuzhmash in the city of Dnepr in the south-eastern part of Ukraine.
Hamna kitu nafurahia zaidi katika OP hii kama nikisoma kua ghala za silaha kutoka Magharibi zimelipuliwa na makombora ya Urusi.
Nafurahi sana kwa kweli.
Furaha yangu ni kwamba,silaha hizo ndio zinaleta mateso kwa Wananchi wa Ukraine maana zingefika field zinasababisha vita iwe ndefu TU.
Pili furaha yangu ni kuwatia hasara wa NATO TU.
Tatu. Ni kwadhalilisha USA na NATO.
Nne kwa vile maghala hayo huweka silaha zote za west kwa ajili ya kuzipeleka front basi nafurahi Kisha ikibtu kua pengine kombora moja au mbili au tatu TU za Urusi zimeteketeza masilaha kibao ya west. Yaani ni Raha Fulani TU hivi.
Kwa kifupi katika maisha ya NATO,NATO haikuwahi kukutana na mtihani Mgumu kama huu amabao imeshindwa hata ku attempt hata swali moja.
NATO inapitia katika kipindi kigumu mno.
NATO inadhalilishwa na inadhalilika.
NATO inateswa na inateseka.
NATO inasimangwa na inasimangika.
Iko wapi Ile NATO iliyoipiga mabumu Yugoslavia,
Iko wapi NATO iliyoipiga Iraq ya Sadam Husein na operation Desert storm?
Iko wapi NATO iliyowasaidia waasi kumtoa Muamar Gaddafi?
Iko wapi NATO iliyoenda Afghanistan kuwapiga watalaban walioongizwa na Mullah Omar Mohamed na Rafiki yake Osam bin laden?.

Leo hii Nchi ya Ukraine kipenzi Cha west na NATO amabyo,Rais wake anapewa nafasi ya kuhutubia mabunge ya nchi zote za west, na Blocks zote za west anapigwa na Urusi mchana na usiku,miundombinu inaharibiwa lakini west wako madirishani wanachungulia TU.wanaishia kukaa vikao Kila kukicha kuchangishana vijisilaha na fedha, lakini kuingia moja kwa moja kama walivyo fanya kwa mataifa mengine hawaingii.mafano Kuwait,Iraq, Afghanistan, Yugoslavia na Libya.
Iko wapi NATO hiyo?
 
Hakuna air defence system duniani ambayo ni 100% foolproof na ndio maana hata Russia yenyewe Ukraine wamekuwa wakiwarushia makombora na kuwapiga vizuri tu, hivyo hamna cha ajabu hapo.

Lakini kinachotushangaza zaidi ni Russia kushindwa kabisa kumaliza hii vita na karibu mwaka unaenda kwisha na hakuna kabisa dalili ya wao kufanikisha lengo lao pamoja na kuishiwa wanajeshi na kupeleka hadi wafungwa vitani. Very shameful indeed.
Nikuulize kama una ubavu wa kujibu: Marekani na NATO kwa ujumla walipigana na Taliban kwa miaka mingapi na hatimaye Marekani akakimbia na kutelekeza silaha kibao nyuma yake? Je Marekani alipokimbia kichapo nchini Somalia ulikuwepo au hujawahi kusikia? Je ulishasikia kichapo alichokuwa anapata Marekani nchini Vietnum?
 
Hamna kitu nafurahia zaidi katika OP hii kama nikisoma kua ghala za silaha kutoka Magharibi zimelipuliwa na makombora ya Urusi.
Nafurahi sana kwa kweli.
Furaha yangu ni kwamba,silaha hizo ndio zinaleta mateso kwa Wananchi wa Ukraine maana zingefika field zinasababisha vita iwe ndefu TU.
Pili furaha yangu ni kuwatia hasara wa NATO TU.
Tatu. Ni kwadhalilisha USA na NATO.
Nne kwa vile maghala hayo huweka silaha zote za west kwa ajili ya kuzipeleka front basi nafurahi Kisha ikibtu kua pengine kombora moja au mbili au tatu TU za Urusi zimeteketeza masilaha kibao ya west. Yaani ni Raha Fulani TU hivi.
Kwa kifupi katika maisha ya NATO,NATO haikuwahi kukutana na mtihani Mgumu kama huu amabao imeshindwa hata ku attempt hata swali moja.
NATO inapitia katika kipindi kigumu mno.
NATO inadhalilishwa na inadhalilika.
NATO inateswa na inateseka.
NATO inasimangwa na inasimangika.
Iko wapi Ile NATO iliyoipiga mabumu Yugoslavia,
Iko wapi NATO iliyoipiga Iraq ya Sadam Husein na operation Desert storm?
Iko wapi NATO iliyowasaidia waasi kumtoa Muamar Gaddafi?
Iko wapi NATO iliyoenda Afghanistan kuwapiga watalaban walioongizwa na Mullah Omar Mohamed na Rafiki yake Osam bin laden?.

Leo hii Nchi ya Ukraine kipenzi Cha west na NATO amabyo,Rais wake anapewa nafasi ya kuhutubia mabunge ya nchi zote za west, na Blocks zote za west anapigwa na Urusi mchana na usiku,miundombinu inaharibiwa lakini west wako madirishani wanachungulia TU.wanaishia kukaa vikao Kila kukicha kuchangishana vijisilaha na fedha, lakini kuingia moja kwa moja kama walivyo fanya kwa mataifa mengine hawaingii.mafano Kuwait,Iraq, Afghanistan, Yugoslavia na Libya.
Iko wapi NATO hiyo?
Barabara hapo umenena points tu, aisee big up Hakka NATO wamepata mbabe wao, ujinga wao kwisha walifikiri urusi ni kadudu kadogo Leo wanahaha mifumuko ya Bei ya vyakula , mafuta na gesi, sababu kuu ni vita ya Russia na Ukraine. Hakka Putin ni dudu kubwa sana kuliko west na NATO. May peace of God be with giant Putin.
 
Kuna NASAMS mbili tu Ukraine nzima (nchi yenye km za mraba zaidi ya laki tano).NASAMS ni medium range air defense sio long range. Kwahiyo ulitegemea NASAMS mbili zilinde anga lote la Ukraine?!
Mbona Belgorod ipo hapo mpakani na Ukraine tena ni nyumbani kabisa kwa Urusi lakini hua inapigwa Makombora (na mara nyingine drones) na hatusikii yakitunguliwa?! Nakumbuka Ukraine iliwahi ingiza helicopters zake mpaka hapo Belgorod na kulipua matanki ya Mafuta lakini hakuna helicopter hata moja iliyotunguliwa,je air defenses zilikua wapi?!

Russia ambayo Putin alikua akiisifia ina impenetrable air defense systems Leo hii inashindwa kutungua GMLRS kama Himars [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
Mlivyoleta mbwembwe wakati zimefika hamkulitambua hili
 
Marekani ilijinasibu kupeleka mfumo wake wa ulinzi wa anga nchini ukraine kwa mbwembwe na watu wakaamini kuwa sasa suluhisho la missile za urusi limepatikana!

Kinyume chake tarehe 15/11/2022 Ukraine na wapambe wake wanalia kuwa nusu ya ya mifumo ya umeme imehariwa baada ya Urusi kushambulia kwa nguvu zaidi tangu vita vilipoanza na ikarusha missiles 100 kwa siku moja!

Sasa tunajiuliza huu mfumo wa ulinzi wa anga NASAMS ulikuwa umesinzia au?

Ukraine says almost half of the country’s power infrastructure needs repair following waves of Russian aerial attacks that have disrupted electricity supplies for millions of Ukrainians.

“Only on November 15, Russia fired about 100 missiles at Ukrainian cities.

Nearly half of our energy system has been disabled,” Prime Minister Denys Shmygal said while appealing to Ukraine’s European allies for support.
Hawa ukraine hakika ni wajinga. Wanaamini kabisa nchi za magharibi watakuja kuwaokoa kwa gharama yoyote. Eti kwa kua wao wanapigania mfumo wa demokrasia ya kiliberali. Eti demokrasia inayokubali ushoga na ndoa za jinsia moja. Ile demokrasia inayotaka eti watoto wafundishwe kwamba kuna jinsia tatu; mme, mke, na shoga/msagaji, halafu mtoto achague anataka kua jinsia gani. Demokrasia yenye kuruhusu mtu kujibadili jinsia yake; yaani ni demokrasia ya shetani.
Mungu atunusuru waafrika na ufirauni huu ukraine wanajidai wanapigania.
Kuhusu nchi na wao ukraine wanatambua. Majimbo manne urusi iliyoyachukua wenyeji ni warusi. Wakati soviet union inavunjika hawakupewa fursa kuchagua maeneo yao yabakie kua sehemu ya russia.
 
Nikuulize kama una ubavu wa kujibu: Marekani na NATO kwa ujumla walipigana na Taliban kwa miaka mingapi na hatimaye Marekani akakimbia na kutelekeza silaha kibao nyuma yake? Je Marekani alipokimbia kichapo nchini Somalia ulikuwepo au hujawahi kusikia? Je ulishasikia kichapo alichokuwa anapata Marekani nchini Vietnum?
Nikusahihishe.
Afghanistan USA hajakimbia na hajaacha silaha bali alisitisha kuilinda Afghanistan kwasababu ya gharama kubwa.
USA hiyohiyo imeilinda Afghanistan kwa muda wa miaka 20.
Na USA haikuwa ikipigana Bali ikilinda.
Pili Somalia walienda kumuua Farah Aidid,haipingwi wanajeshi wengi walikufa Ila Farah Aidid aliuawa na jeshi la Marekani.
 
Barabara hapo umenena points tu, aisee big up Hakka NATO wamepata mbabe wao, ujinga wao kwisha walifikiri urusi ni kadudu kadogo Leo wanahaha mifumuko ya Bei ya vyakula , mafuta na gesi, sababu kuu ni vita ya Russia na Ukraine. Hakka Putin ni dudu kubwa sana kuliko west na NATO. May peace of God be with giant Putin.
Marekani ilijinasibu kupeleka mfumo wake wa ulinzi wa anga nchini ukraine kwa mbwembwe na watu wakaamini kuwa sasa suluhisho la missile za urusi limepatikana!

Kinyume chake tarehe 15/11/2022 Ukraine na wapambe wake wanalia kuwa nusu ya ya mifumo ya umeme imehariwa baada ya Urusi kushambulia kwa nguvu zaidi tangu vita vilipoanza na ikarusha missiles 100 kwa siku moja!

Sasa tunajiuliza huu mfumo wa ulinzi wa anga NASAMS ulikuwa umesinzia au?

Ukraine says almost half of the country’s power infrastructure needs repair following waves of Russian aerial attacks that have disrupted electricity supplies for millions of Ukrainians.

“Only on November 15, Russia fired about 100 missiles at Ukrainian cities.

Nearly half of our energy system has been disabled,” Prime Minister Denys Shmygal said while appealing to Ukraine’s European allies for support.
Mbona comment za watu ni za ushabiki sana!?
Russia kupigana hii Vita imemshinda anabaki kushambulia miundombinu ya kiraia hasa hasa ya nishati.
Ila vita zimemshinda alichobakiza yeye ni uharibifu tu wa miundombinu.
KHERSON IMEKOMBOLEWA NA JESHI LA RUSSIA KU RETREAT MBONA HILO HAMLIZUNGUMZII??
KATIKA MIKOA AMBAYO RUSSIA IMEFANYA ANNEXATION WALE VIONGOZI PANDIKIZI WAMEANZA KUONDOKA KUHOFIA USALAMA WAO MBONA HILO HAMLIZUNGUMZII??
DONBAS RUSSIA JESHI LAKE LINAPATA UPINZANI MKUBWA MBONA HILO HAMLIZUNGUMZII??
KHARKIV PIA ILIKOMBOLEWA MBONA HILO HAMLIZUNGUMZII??
Kiufupi RUSSIA WATU TULIICHUKULIA TAIFA GUMU SANA LAKINI MWAKA UNAENDA VITA INAWAUMIZA.
WALICHOBAKIZA WAO NARUDIA NI KUHARIBU MIUNDOMBINU YA KIRAIA ILA VITA IMEWASHINDA NA KISHERIA YA VITA HAIRUHUSIWI KULIPUA AMA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA KIRAIA.
Hakuna Cha Russia wala nini Russia imeshathibitika taifa dhaifu kiasi inatumia mpk silaha za Iran.
 
Back
Top Bottom