NASAMS (Advanced Air Defense System) toka Marekani ilikuwa imepiga usingizi au?

wewe ni mimi mtupu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Nahisi mrusi anataka kuwafanya west wakose uvumilivu hadi wapishane kauli na kusambaratika km USSR ilivyosambaratika
 
Vifaa walivyoacha Afghanistan vilikuwa ni obsolete ndio maana waliamua kuviacha huko. Nchini Somalia Marekani na mataifa mengine walikuwa pale kwa ajili ya kulinda amani peace keeping mission na hawakuwa kwenye combat mission ndio maana wale wasomalia waliwafanyia ambush kivile.

Vietnam vilevile ilikuwa ni kama Afghanistan ambapo walipoteza logical reasons za kuendelea kukaa huko na wakaamua kuondoka.
Nahisi mrusi anataka kuwafanya west wakose uvumilivu hadi wapishane kauli na kusambaratika km USSR ilivyosambaratika
Sasa nchi za magharibi utazifananishaje na USSR, kweli unafahamu USSR ilivyokuwa..!!!
 
Supa-pawa anakwama wapi?
lee van cliff
 
Ujamaa kijeshi kiutawala kiuchumi kiteknolojia na kufanya maamuzi kwa maslahi ya ussr, kitu ambacho nato hawakukipenda, ndio maana unaskia kila mmoja wao analialia NWO
 
Gharama za Vita tunazilipa sisi mataifa madogo, kama wanakuja wanachukua vitu kwa bei ya chini alafu unafurahia, wewe ndio unaepoteza Katika mizania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…