"Naseeb" Diamond Platnumz, kwa hili umeionyesha kuudharau dini yako "Islam""

Status
Not open for further replies.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
1476250645106.jpg

1.Kama sikosei Kanzu ni Vazi linalotumiwa na saana na dini ya Kiislamu,japo hata wakristo hutumia lakini si kwa kiwango kikubwa.
Nikizungumzia Upande wa Dini yako yaani "Muslim" Vazi hilo kidogo nyie mmefika nalo mbali na kulichulia ni Sehemu ya ibada na kwa desturi yake linahitaji heshima kwa yeyote yule atakaye livaava.

2.Kwa muumini wa Dini yako si sahihi kutumia au kujihusisha na Pombe/kilevi.
Kwenye Picha panaonekana jamii za Pombe mbalimbali.

3.Kwa mujibua wa Location kwnye hiyo picha nadhani kilikua ni kipindi cha EATV,Friday Night Live kwa kifupi "FNL" kinachorushwa Ijumaa .Siku hii ni siku ya maalumu ya Ibada kwa Dini ya Kiislamu.

Kwa mambo hayo Matatu umeonekana kuidharau na kuidhalilisha Dini yako.

Hayo yanaweza kua ni maoni ya wengi pamoja na mm , lakini pia nitabaki nikijikosoa kama ni sahihi saana kumjaji mtu kutokana na mavazi pamoja na kumtolea hukumu ilhali wengi wetu si wakamilifu. !
Ila pia naweza kua sahihi kukushauri hili, ukiwa kama kioo cha jamii huna budi kua makini na matendo yako kwa lolote unalolifanya hususani linapofika swala nyeti linalogusa Jamii moja kwa moja.

Ushauri pia kwa EATV. Picha hii mmeitumia nyie kwnye page yenu FB basi inawapasa Mue makini kuchagua picha za kutumia ,palikua hapan ulazima wa kutumia picha hiyo.

Ahsante
 
Vazi takatifu analivaa kwenye ulabu... Aiseeeh
 
Hapo ni kaingia na Kanzu bar.
Ni bora angekuwa mkristo ila kwa Naseeb anayejulikana ni Muislam sio vizuri alivyofanya.

Mwisho wa siku hakuna mwenye uwezo wa kuhukumu,na tumeusiwa tusihukumiane.
Zaidi tukumbushane...
 
Huyo si muislam ndio wale waislam jina, wala usihangaike na adui wa Muumba.
 
View attachment 416520

1.Kama sikosei Kanzu ni Vazi linalotumiwa na saana na dini ya Kiislamu,japo hata wakristo hutumia lakini si kwa kiwango kikubwa.
Nikizungumzia Upande wa Dini yako yaani "Muslim" Vazi hilo kidogo nyie mmefika nalo mbali na kulichulia ni Sehemu ya ibada na kwa desturi yake linahitaji heshima kwa yeyote yule atakaye livaava.

2.Kwa muumini wa Dini yako si sahihi kutumia au kujihusisha na Pombe/kilevi.
Kwenye Picha panaonekana jamii za Pombe mbalimbali.

3.Kwa mujibua wa Location kwnye hiyo picha nadhani kilikua ni kipindi cha EATV,Friday Night Live kwa kifupi "FNL" kinachorushwa Ijumaa .Siku hii ni siku ya maalumu ya Ibada kwa Dini ya Kiislamu.

Kwa mambo hayo Matatu umeonekana kuidharau na kuidhalilisha Dini yako.

Hayo yanaweza kua ni maoni ya wengi pamoja na mm , lakini pia nitabaki nikijikosoa kama ni sahihi saana kumjaji mtu kutokana na mavazi pamoja na kumtolea hukumu ilhali wengi wetu si wakamilifu. !
Ila pia naweza kua sahihi kukushauri hili, ukiwa kama kioo cha jamii huna budi kua makini na matendo yako kwa lolote unalolifanya hususani linapofika swala nyeti linalogusa Jamii moja kwa moja.

Ushauri pia kwa EATV. Picha hii mmeitumia nyie kwnye page yenu FB basi inawapasa Mue makini kuchagua picha za kutumia ,palikua hapan ulazima wa kutumia picha hiyo.

Ahsante
ni vazi tu
 
Kwa hiyo ulitaka EATV watumie picha gani? Kwani wao walimwambia avae hivyo? Au unataka wafanye editing, ili background zionekane juice na soda?
 
Kufuata maadili ya Uandishi ,nadhani Chombo cha habari ni vyema makini katika matumizi ya picha zisiweza leta karaha kwa jamii na ndio.maana hata kipindi hicho huonyeshwa usiku ili kukwepa baadhi ya Jamii ikiwamo watoto.
Sidhani kama Nasibu kwa siku hiyo alikua na picha moja tu .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom