bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
hata mimi naonaMtoa mada bila shaka si mzima akilini mwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi naonaMtoa mada bila shaka si mzima akilini mwake
Kanzu ni Vazi kama Vazi lingine . !Vaa kanzu nenda Zanzibar tafuta Bar ya Karibu Kam,uagize na Castle Lager Baridi.ni vazi km mengine sio dini
View attachment 416520
1.Kama sikosei Kanzu ni Vazi linalotumiwa na saana na dini ya Kiislamu,japo hata wakristo hutumia lakini si kwa kiwango kikubwa.
Nikizungumzia Upande wa Dini yako yaani "Muslim" Vazi hilo kidogo nyie mmefika nalo mbali na kulichulia ni Sehemu ya ibada na kwa desturi yake linahitaji heshima kwa yeyote yule atakaye livaava.
2.Kwa muumini wa Dini yako si sahihi kutumia au kujihusisha na Pombe/kilevi.
Kwenye Picha panaonekana jamii za Pombe mbalimbali.
3.Kwa mujibua wa Location kwnye hiyo picha nadhani kilikua ni kipindi cha EATV,Friday Night Live kwa kifupi "FNL" kinachorushwa Ijumaa .Siku hii ni siku ya maalumu ya Ibada kwa Dini ya Kiislamu.
Kwa mambo hayo Matatu umeonekana kuidharau na kuidhalilisha Dini yako.
Hayo yanaweza kua ni maoni ya wengi pamoja na mm , lakini pia nitabaki nikijikosoa kama ni sahihi saana kumjaji mtu kutokana na mavazi pamoja na kumtolea hukumu ilhali wengi wetu si wakamilifu. !
Ila pia naweza kua sahihi kukushauri hili, ukiwa kama kioo cha jamii huna budi kua makini na matendo yako kwa lolote unalolifanya hususani linapofika swala nyeti linalogusa Jamii moja kwa moja.
Ushauri pia kwa EATV. Picha hii mmeitumia nyie kwnye page yenu FB basi inawapasa Mue makini kuchagua picha za kutumia ,palikua hapan ulazima wa kutumia picha hiyo.
Ahsante
Mwisho wa siku hakuna mwenye uwezo wa kuhukumu,na tumeusiwa tusihukumiane.
Zaidi tukumbushane...
Excttly na ndio.Maana hata Mwishoni nikasema maweza nikawa nakosea Kujaji,lakini.pia anapaswa kua makini na Reaction za Jamii kutokana na matokeo ya kile anachoweza kukufanya,ukizingatia tayari ni mtu mwenye Influence.Hapo kwenye wekundu, binadamu tupo tofauti kimtazamo hata kimuonekano, Je! Yeye Nasibu analichukuliaje vazi hilo au anamtazamo upi kwa vazi hilo?
Daruwesh hakuna aliekamilika wajibu ni kukumbushana tu.Sio muislam, sema ana jina la Kiislamu tu.
Muislamu haruhusiwi kuimba vyimbo za kihuni vile!
Kwa point yako hii ina maana hata kwenye tv basi hizo pombe hazikutakiwa kuonekana eti kisa diamond kavaa kanzu.. Kitu ambacho ni impossible. Kama unafuatilia mpira, kuna team kibao zina wachezaji waislam na bado wanavaa jezi zinazotangaza pombe. Sasa hao nao utasingizia maadili ya vyombo vya habari? FNL kuoneshwa usiku sio sababu ya hizo picha za pombe.Kufuata maadili ya Uandishi ,nadhani Chombo cha habari ni vyema makini katika matumizi ya picha zisiweza leta karaha kwa jamii na ndio.maana hata kipindi hicho huonyeshwa usiku ili kukwepa baadhi ya Jamii ikiwamo watoto.
Sidhani kama Nasibu kwa siku hiyo alikua na picha moja tu .
Ni kwli kabisa!! huenda yeye anamisingi yake.."Who knows?🙄"Excttly na ndio.Maana hata Mwishoni nikasema maweza nikawa nakosea Kujaji,lakini.pia anapaswa kua makini na Reaction za Jamii kutokana na matokeo ya kile anachoweza kukufanya,ukizingatia tayari ni mtu mwenye Influence.