"Naseeb" Diamond Platnumz, kwa hili umeionyesha kuudharau dini yako "Islam""

Status
Not open for further replies.
ni vazi km mengine sio dini
Kanzu ni Vazi kama Vazi lingine . !Vaa kanzu nenda Zanzibar tafuta Bar ya Karibu Kam,uagize na Castle Lager Baridi.
Ukifanikiwa kurudi Uje utueleze Kanzu ni Vazi la Kawaida ama lah.
 

Hapo kwenye wekundu, binadamu tupo tofauti kimtazamo hata kimuonekano, Je! Yeye Nasibu analichukuliaje vazi hilo au anamtazamo upi kwa vazi hilo?
 
kwani picha yenyewe imechukukiuliwa akiwa anajipa haya mabia ama yupo kazini na bahati mtangazaji kakutana naye mazingira haya wakafanya mahojiano mambo mengine hata mungu mwenyewe anaangalia kazi ya hyu ina changamoto nyingi
 
Hapo kwenye wekundu, binadamu tupo tofauti kimtazamo hata kimuonekano, Je! Yeye Nasibu analichukuliaje vazi hilo au anamtazamo upi kwa vazi hilo?
Excttly na ndio.Maana hata Mwishoni nikasema maweza nikawa nakosea Kujaji,lakini.pia anapaswa kua makini na Reaction za Jamii kutokana na matokeo ya kile anachoweza kukufanya,ukizingatia tayari ni mtu mwenye Influence.
 
Af kingine we chokoraa mtoa thread acha kufatilia dini za wenzako nyie mbona dini yenu wasichana wanaingia kanisani na vimini mbona hatusemi??
 
Dini zimeletwa tu hizi..
Kwa nini tutoane macho sababu ya dini...?
Avae kanzu disco sawaa..
Avae rozali kilabuni sawaa...
Mwisho wa maisha kila mja na fungu lake...
 
Kitimoto pekee ndiyo waislamu wote huwa hawataki kuhusishwa nayo lakini hayo mengine naona wanayachukulia poa tu.

Muislamu hata akengeuke vipi lazima ajifiche ndiyo ale kitimoto.
 
Kuna tofauti ya islam na arab culture. Kanzu ni nguo na utamaduni wa waarabu hata kabla uislamu haujaja.
Avae tu vasi sio dini
 
Kwa point yako hii ina maana hata kwenye tv basi hizo pombe hazikutakiwa kuonekana eti kisa diamond kavaa kanzu.. Kitu ambacho ni impossible. Kama unafuatilia mpira, kuna team kibao zina wachezaji waislam na bado wanavaa jezi zinazotangaza pombe. Sasa hao nao utasingizia maadili ya vyombo vya habari? FNL kuoneshwa usiku sio sababu ya hizo picha za pombe.
 
Excttly na ndio.Maana hata Mwishoni nikasema maweza nikawa nakosea Kujaji,lakini.pia anapaswa kua makini na Reaction za Jamii kutokana na matokeo ya kile anachoweza kukufanya,ukizingatia tayari ni mtu mwenye Influence.
Ni kwli kabisa!! huenda yeye anamisingi yake.."Who knows?🙄"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…