Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

Kosa unalo fanya ni kuficha Mali.
Toa Mali tena kipindi hiki ungeitoa kwa mwamba kiukweli kweli kama paka shume la bar.

Ila naona mwamba ndio anashinda maana kwako kalamba na huko anaenda kulamba, akimaliza anarudi kwako anakulamba tena, ukikataa atasema ataweka Siri kwa mwamba.
Huu ushauri mnaotoa wanaume nimeamini hata nyie hampendani 😂😂
 
Ushaur Wangu Kaa mbali Na Uyo ex IV unafkiri siku akienda kumwambia mumeo kuwa ulimtuma akamatongoze Uyo binti mumeo atakuekewa????? Unafkir mumeo hatahisi mna kitu kinaendelea Na Uyo ex...hii kesi ikienda Kwa wazazi wewe utaonekana mkosefu mwanamke kosa la mumeo kucheat halitakuwa Na uzito Ila wewe kosa lako kuwasiliana Na ex ishu YA ndani hivo utaonekana mkosefu
Kwahiyo yeye tu ndo ana hisia? Mi zangu aahh…

Acha kutetea sana wanaume bwana. Akizingua nitapiga chini kwani sh ngapi. Nitateseka ndio ila sio milele.
 
Sijui unafeli wapi? 🤣🤣
Huyo mbwiga ushaijua michezo yake na wewe mpandishe cheo bana weeh.!
Kila nikiongeza glass ya wine hasira inapanda halafu nawaza labda nifanye tu na mimi
Tit for Tat hasira yangu iishe tuishi kama zamani.

Maana hata mwaka jana si alikuwa nae ila sababu sikujua na sikuwa na hasira tuliishi tu poa
 
Bibie unalia kwasababu mwanaume ame cheat hapana hao ndivyo walivyo futa machozi
Kula kitu roho inapenda jitoe out maisha yenye mafupi mwache atambe fainal uzeeni
 
Kwa kweli Mkuu

Isingekuwa kuingilia Uzi wa watu, ningeeleza kisa kimoja kilichonitokea miaka fulani na hao hao mabinti wa 2000

Yaani bila familia yangu kuingilia kati, ilibaki kidogo nimpatie yule binti hati ya mashamba yangu yote

Ni bora tumezeeka tu 🙌
Kwamba ulikua unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Mi hata simuombei mabaya. Ila aniachie huyu baba jamani, sio issue
Sijachelewa unaniruhusu kuja pm kwako?

Hizi kazi nimeshafanya sana hata kurogwa nimerogwa nishatoka posa mara4 hii itakuwa ya5 Sasa.

Ni amini sitakuangusha abadani!!


Ukitaka nisimulie kisa hata kimoja nipo Tyr kabisa.
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Kuna comment moja nilisomaga nikakuona wewe ni certified bitch. Kuwa kuna dada alilalamika kumchoka mume japo anapata kila kitu ukamlaumu kuwa huwa mnatafuta mwenye kupiga show show nje kimya kimya tu.

Sasa, karma is a bitch. And by your attitude you seem to be a pro bitch.

Near retirement. That's why you always keep posting your bitchyyyy CV in here to attract clueless mofos.
 
Back
Top Bottom