Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Anatupanga huyuUmeolewa miaka 19, iliyopita na bado una namba ya x, na hampashi vipolo🤔🙄. Ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatupanga huyuUmeolewa miaka 19, iliyopita na bado una namba ya x, na hampashi vipolo🤔🙄. Ok
Huu ndio ujinga pro ulionao unaninyima Chini unategemea nini hiki kichupa kikijaa nikazipunguzie Wapi nipige nyeto wakati nimekulipia Ng'ombe kadhaa nikabeba Ng'ombe mmoja nikaishi nae ndani?Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…
Wewe mwenyewe wa liniSasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.
Unatakiwa ukigundua kila siku tunaenda kuoga pamoja zikimwagwa mwagwa km Wiki mtoto wa 2000 anawekwa mbali sana na ukilala lala bila chupi hata ukiwa periodic table ili nikukague, nimekupa Siri ya kambini sasa akili kichwani mwako ukihisi unakomoa kumbe unajikomoa maana ukivuruga kwa huyo anatafutwa mwingine sasa utawavuruga wangapi?Eh we nawe mzito jamani
Mkuu hebu soma tena kwa kutulia.Unatakiwa ukigundua kila siku tunaenda kuoga pamoja zikimwagwa mwagwa km Wiki mtoto wa 2000 anawekwa mbali sana na ukilala lala bila chupi hata ukiwa periodic table ili nikukague, nimekupa Siri ya kambini sasa akili kichwani mwako ukihisi unakomoa kumbe unajikomoa maana ukivuruga kwa huyo anatafutwa mwingine sasa utawavuruga wangapi?
Nimekupa Siri ya kambi Mwanaume anafuata Chini mpe Chini mpaka anyooshe mikono juu, hio ndio Dawa hizo zingine harakati za kujisumbua maana ukiziba na kule ukiziba atatafuta kidobo kingine akimwagieSasa kusalitiwa kuna harakati Mkuu? Mtu kaamua kufanya yake harakati zako zitazuiaje?
Ya kawaida sana, labda uwe hujawahi kutembea na wanawake wazuri.Wanaume wenzangu hebu tuwe serious kidogo, ivi unawezaje kucheat hii Pisi
Nipe tena tena this time nipe kile hujawahi kuthubutu kunipa ambacho mtoto wa 2000 ananipa tena bila mashartiMkuu hebu soma tena kwa kutulia.
Hakuna siku nimewahi kumyima sex bwana. Hivi vya sasa hivi ni maumivu tu, siwezi. Lakini sina hiyo historia.
Na mimi sio wa kufundwa kuhusu sex maana mi mwenyewe napenda. Save your energy
Mwaka jana na mimi ndio wife almanusura anibambe..e bwana ee pale ndio nikajua kumbe wife ananikubali eeh!!?? Alianzisha vagi hilo sio la nchi hii nikajua kweli kuibiwa sio poa.. alipeleka moto kwa yule dada mpaka hatarSasa kusalitiwa kuna harakati Mkuu? Mtu kaamua kufanya yake harakati zako zitazuiaje?
Kwahiyo unashaurije? Niwashe moto?Mwaka jana na mimi ndio wife almanusura anibambe..e bwana ee pale ndio nikajua kumbe wife ananikubali eeh!!?? Alianzisha vagi hilo sio la nchi hii nikajua kweli kuibiwa sio poa.. alipeleka moto kwa yule dada mpaka hatar
😅😅 usaliti unauma ila sio kwa kiwango cha zuri 😅😅 wengine mioyo ishapata ganzi, halafu hizo posa atalipia wangapi?
Km kuna kitu hupati unanyinwa na kule kwa 2000 unapata tena kila muda unaotaka utaenda Wapi ku-make fantasy yako iwe kweli? Sometimes Wanawake Mwanaume anapocheat jiulize maswali ya muhimu zaidi nini unaninyima kinachonipeleka kuleWanaume wenzangu hebu tuwe serious kidogo, ivi unawezaje kucheat hii Pisi
Hamnaa..kwakua hiyo yako umeamua kuifanya iwe covet operation bila mshkaji wako kujua, bas maliza hivyo hivyo ulivyoanza chin chinKwahiyo unashaurije? Niwashe moto?
Sijui ila ukaribu wa hivyo na ex ni wa mashaka, wewe na huyo mumeo ni wale wale sasa ex unaendeleza ukaribu nae wanini na upo kwenye ndoa?Sawa. Wewe ndo unajua ukweli Mkuu.