Una uhakika ulichofanya kinaboresha ?Sasa muda wangu niutumie kufanya nini kama sio vitu vya kuboresha maisha yangu?
Oya uko wapi Leo tuje tule Nguruwe kitimoto masangaMwanamke mwenye hekima huwa hashangai mumewe akimcheat ndivyo tulivyo haturidhiki na K moja
Mfano mzuri ni aliyekuwa raisi wa Marekani Bill Clinton kwa miaka 2 alikuwa akimcheat mkewe Hillary Clinton kwa kutoka na secretary wake.
Na mkewe Hillary alijua lakini hakujihangaisha na mambo kama hayo unataka kufanya wala hakudai talaka kwa sababu alijua ndivyo tulivyo mpaka leo ndoa yao inatimiza miaka 49
Uzuri ni kwamba wanaume tunacheat with no emotions ni tamaa tu ndio maana tukishamwaga tamaa zinaisha ila upendo wetu kwa wake zetu unabaki palepale
Men are polygamous by nature
Anhaa.. ila si mtakulana tu soon. Binafs sion tatizo..Sijakulana nae but if i do…if I do…ni yeye atakuwa amenipush huko. Every action has an equal and opposite reaction
Hii kitu naipinga kila siku, na hata akiongea mwanamke namkatalia na tutabishana had tukeshee.Zurie
Unafikiri wanawake wenzako walio kwenye ndoa hawajui kuwa waume zao wana michepuko?
Wanajua na wanafahamu hata baadhi wanafahamu michepuko ya waume zao
Wametulia tu wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite siku zinaenda maisha yanasonga
By the way kwani wewe alikukuta bikra?
Halafu mbinu zote za wakongwe wanazijua. Kibaya zaidi hawana aibu, wanaweza kukufanyia kitu Kama huna nusu konyagi kichwani unaweza kusema, this is going too far.Iila watoto w 2000 jamani ni wamoto na watamu kuliko. Wakongwe mjipange kweli kweli. Kazi ipo.
All the best
Naunga mkono hoja. Usaliti hauvumiliki.Hii kitu naipinga kila siku, na hata akiongea mwanamke namkatalia na tutabishana had tukeshee.
Hakuna uvumilivu ktk Usaliti, aidha huyo mvumiliaji analipiza kisasi, au huyo mwanamke hayuko well financially, hivyo anabaki kulinda ulajii wakee.
Tusidanganyanee hapaa.
Nilikuwa sijui kwamba nimezeeka hadi siku binti mmoja alipotumia mbinu zote za kuniamsha ikiwemo hiyo ya Vipipi bila mafanikio 🙌mkuu unapenda kujiona mbabu 😅😅😅😅😍😍
hamna day hujasema ‘tumezeeka’
Hahahahaha.....vichwa vinawauma.Wanakimbia au siyo 😂
Shinda majaribu mkuu, lakn pia sioni sababu ya kutomchana ajue unajua madudu yake na mwambie kwanzia ss hufany bila kinga humuamini na kila baada ya muda unamshtukiza mkapime sio kwamba ndo anao ila kumtesa kisaikolojia kwa muda tu... but usilipize Madam.Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.
Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
Aisee🥺🥺 ebu njoo pm mumy nkupe mbinuAshakunywa sana Mkuu hadi sometimes naona haina maana tena. Yani kama hadi tulienda vacation na huyu mtu alikuwepo around yaani mi napewa card naenda shopping, huyu anaenda kuliwa.
Aah acheni nilie jamani. Naumia😭
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 sawa babuNilikuwa sijui kwamba nimezeeka hadi siku binti mmoja alipotumia mbinu zote za kuniamsha ikiwemo hiyo ya Vipipi bila mafanikio 🙌
Bora tumezeeka sasa 🤗
Kwa kweli MkuuUmeona bila kusahau VITUNGUU wanajua kuvitumia Yan unakakamaa ukikojoa😁😁watoto wa 2000 tuwape mafrawaa yao
Hahaha........😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 sawa babu
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.