Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

Mwanamke mwenye hekima huwa hashangai mumewe akimcheat ndivyo tulivyo haturidhiki na K moja

Mfano mzuri ni aliyekuwa raisi wa Marekani Bill Clinton kwa miaka 2 alikuwa akimcheat mkewe Hillary Clinton kwa kutoka na secretary wake.

Na mkewe Hillary alijua lakini hakujihangaisha na mambo kama hayo unataka kufanya wala hakudai talaka kwa sababu alijua ndivyo tulivyo mpaka leo ndoa yao inatimiza miaka 49

Uzuri ni kwamba wanaume tunacheat with no emotions ni tamaa tu ndio maana tukishamwaga tamaa zinaisha ila upendo wetu kwa wake zetu unabaki palepale

Men are polygamous by nature
Oya uko wapi Leo tuje tule Nguruwe kitimoto masanga
 
Zurie

Unafikiri wanawake wenzako walio kwenye ndoa hawajui kuwa waume zao wana michepuko?

Wanajua na wanafahamu hata baadhi wanafahamu michepuko ya waume zao

Wametulia tu wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite siku zinaenda maisha yanasonga

By the way kwani wewe alikukuta bikra?
Hii kitu naipinga kila siku, na hata akiongea mwanamke namkatalia na tutabishana had tukeshee.

Hakuna uvumilivu ktk Usaliti, aidha huyo mvumiliaji analipiza kisasi, au huyo mwanamke hayuko well financially, hivyo anabaki kulinda ulajii wakee.

Tusidanganyanee hapaa.
 
Hii kitu naipinga kila siku, na hata akiongea mwanamke namkatalia na tutabishana had tukeshee.

Hakuna uvumilivu ktk Usaliti, aidha huyo mvumiliaji analipiza kisasi, au huyo mwanamke hayuko well financially, hivyo anabaki kulinda ulajii wakee.

Tusidanganyanee hapaa.
Naunga mkono hoja. Usaliti hauvumiliki.
 
Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.

Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
Shinda majaribu mkuu, lakn pia sioni sababu ya kutomchana ajue unajua madudu yake na mwambie kwanzia ss hufany bila kinga humuamini na kila baada ya muda unamshtukiza mkapime sio kwamba ndo anao ila kumtesa kisaikolojia kwa muda tu... but usilipize Madam.

Ubwela sasa hiyo njia kama mwamba hajali yaweza sambaratisha zaidi ndo akalowea huko ila kama anakupenda atajirudi
 
Umeona bila kusahau VITUNGUU wanajua kuvitumia Yan unakakamaa ukikojoa😁😁watoto wa 2000 tuwape mafrawaa yao
Kwa kweli Mkuu

Isingekuwa kuingilia Uzi wa watu, ningeeleza kisa kimoja kilichonitokea miaka fulani na hao hao mabinti wa 2000

Yaani bila familia yangu kuingilia kati, ilibaki kidogo nimpatie yule binti hati ya mashamba yangu yote

Ni bora tumezeeka tu 🙌
 
Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.
 
Zurie na kujibu kwa according ya wewe kulia . Sana kwamba umechitiwa na mume kisiri.

Kabla hujaoelewa ulikuwa kwenye kazi hihii na pia manager wako hamna mahusiano yeyote?? Je hujawahi kuwa na mume wamtu kabla hujaolewa na mme wako. Alikuwa naupendo?? Au alikuwa kakuoa tu . Katika maisha lazoma wanaume wacheat wake zao kwasababu hawawezi kuishi nawewe tu .

Haya maswali nakuuliza ili ujue kuwa kama umewahi kuwa na mume wamtu ukiwa mdogo kwa maslahi au kwa mapenzi bado, ndio saivi unalipizwa
 
Back
Top Bottom