Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

Hii kitu naipinga kila siku, na hata akiongea mwanamke namkatalia na tutabishana had tukeshee.

Hakuna uvumilivu ktk Usaliti, aidha huyo mvumiliaji analipiza kisasi, au huyo mwanamke hayuko well financially, hivyo anabaki kulinda ulajii wakee.

Tusidanganyanee hapaa.
Ulimtunzia bikra mume wako?
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Pole
 
We muachie Mungu
 
anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho.
769497f9703ed8cbce685f12a5b474b7.jpg
 
Endelea tu kuwa period mkuu.. sisi wanaume huwa hatuna hesitation when it comes to Upwiru kama huko before uliwahi mnyima kipapa huyo mmeo basi subiri mziki wake.
Kwakweli kwenye wanawake wanaonyima hii mambo sio mimi. Kwanza mi naenjoy pia.

Sijawahi kumwambia naumwa kichwa, nimechoka wala nimefiwa. Hili alilofanya ni kwa sababu zake binafsi naamini
 
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Wanaume wenzangu hebu tuwe serious kidogo, ivi unawezaje kucheat hii Pisi
 
Attachments

  • DEED0735-A022-45F7-A379-52C806816C18.jpeg
    DEED0735-A022-45F7-A379-52C806816C18.jpeg
    430.3 KB · Views: 5
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa

Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.

Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.

Sasa mi si ndio mtaalamu wa IT, nikafanya timing karibu wiki 2 hadi nikafanikiwa kuweka mtego wangu. Lahaula nimekutana na mke mwenzangu mtoto wa 2000.

My analysis of the situation;

Binti sio mtaalamu wa masuala ya kula waume za watu. Sio kwamba namu-underestimate, najua ana power yake. Ila nashukuru Mungu hayuko at war, anatreat huu uhusiano kama mwingine wowote yaani anamuona kama mpenzi wake peke yake. She is at ease.

Nilichofanya ni sijataka mambo yawe mengi, nimemtafuta ex wangu mmoja anapenda chini, anapenda watoto wenye rangi za Mtume maana hata mi alinifatiaga hicho hicho. Nimempa namba, jina, anapopatikana na nimempa pesa (kwa hasira nimemuomba huyu huyu anayenitia hekaheka) amuachanishe huyu mtoto kwa my wangu. Nimemwambia amchanganye apeleke hata posa mi nitagharamia.

Ubaya wa issue hizi bwana yaani tangu nimejua kama wiki 2 zilizopita kila anachoniambia naona uongo. Akijifanya kutaka kukulana namwambia niko period. Hadi jana kauliza “period haiishi?” Nikamwambia “nina stress labda imesababisha”. Akale huko huko nje aache uroho, alaaa…

Sometimes nikioga nalia sio utani. Mume anauma kweli!
Inawezekana na yeye alistuka huwa mnawasiliana na ex wako, kwaiyo inawezekana wote mnaliana timing.
 
Watoto wa miaka ya 2000 ni matamu sana bado hawajawa mashangazi na usugu haujaota kwenye miili yao ya ndani.

Mashangazi wameshakua na usugu fulani hivi na wengi wanatoa K zao kwa sababu ya stress sio hamu ya mapenzi wala nini ?
 
Back
Top Bottom