Nasema hivii nirudishieni pesa yangu, nimenyoa rasta zangu nikaleta CV hata kwenye interview sijaitwa si ujinga huu

Nasema hivii nirudishieni pesa yangu, nimenyoa rasta zangu nikaleta CV hata kwenye interview sijaitwa si ujinga huu

Mkuu pole sana kama ni kweli.

Huu uzi umenichekesha sana .... 😀😀😀😀😀😀
 
Najua mnanisoma hapa,

Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa.

Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu.

The=the dem

Gwantaman

Peace and love
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa mkuu application tu ndio ukanyoa rasta? Interview ungenyoa nini sasa... na ungepata hiyo kazi ungenyoa nini tena.

Jah bless yah man
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Najua mnanisoma hapa,

Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa.

Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu.

The=the dem

Gwantaman

Peace and love
Kuna vitu hivi zingatia
. kuitwa kwenye usaili wa mwanzo
. kushauriwa cha kufanya kwenye usaili wa mwanzo
. kupitishwa kwenye mchujo
. kuitwa kwenye usaili wa pili
. kukubaliwa, kukataliwa ana kuwekwa hakiba
 
Kuna mmoja nasikia alteguka shingo. Aliumwa wakamnyoa nywele. Alipozinduka hakujua kama kanyolewa. Alipoitwa alitumia nguvu nyingi kugeuza shingo
 
Back
Top Bottom