Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
HahahaahhaahahhSasa mkuu application tu ndio ukanyoa rasta? Interview ungenyoa nini sasa... na ungepata hiyo kazi ungenyoa nini tena.
Jah bless yah man
Tena mlangoni kila sikuAnza kula kitimoto sasa ili upate mavi mengi ya kunya ofisini kwao kila siku.!
Tehhhh, unataka kumuumiza mtu sioJamani msaada natafuta vumbi la Kongo
Yaani hadi umebadili dp sina habari...daah inabidi nisiwe napotea sana nisijekukupotea hahahahaaHahahaahhaahahh
Eee usipotee sana banaYaani hadi umebadili dp sina habari...daah inabidi nisiwe napotea sana nisijekukupotea hahahahaa
Hi Genda ubwereEee usipotee sana bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua mnanisoma hapa,
Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa.
Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu.
The=the dem
Gwantaman
Peace and love
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mkuu application tu ndio ukanyoa rasta? Interview ungenyoa nini sasa... na ungepata hiyo kazi ungenyoa nini tena.
Jah bless yah man
Kuna vitu hivi zingatiaNajua mnanisoma hapa,
Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa.
Nasema hivii nipeni pesa yangu fidia kunyoa rasta zangu.
The=the dem
Gwantaman
Peace and love
Vizia malori yanayotoka Congo kabla hawajayaosha kakusanye vumbi utapata la kutoshaJamani msaada natafuta vumbi la Kongo