Nasema hiviii, kanzia leo....

Nasema hiviii, kanzia leo....

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Kuanzia leo nafuta nyimbo za EMINEM zote, narudia tena nafuta zote maana haiwezekani mtu mzima anikoromee hivi.. hata bibi hajawahi kunikoromea kiasi hiki. Shwain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unazo na za DMX,The Game na Xzibit futa manake nao wanakufokea ila ndio vile bahati mbaya Eminem anakufokea kwa sauti yake ya ukali kidogo

Hata Kendric saa zingine anakufokeaga yule
 
Kama unazo na za DMX,The Game na Xzibit futa manake nao wanakufokea ila ndio vile bahati mbaya Eminem anakufokea kwa sauti yake ya ukali kidogo

Hata Kendric saa zingine anakufokeaga yule
Kendrick sometimes sijui huwa ana record akiwa na usingizi?
 
Poa futa tu kwani ulilazimishwa uwe nazo

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Mbona nae huwa analia lia tuu sometimes, sorry mama I never meant to hurt you.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zifute mkuu, haiwezekani akufokee.
 
Back
Top Bottom