Nasema Hiviii...!

Nasema Hiviii...!

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,850
Reaction score
3,041
Jei Efu ni raha sana kama intaneti na bundle lenye salio bila ya kuperuzi mtandao kwenye simu aina ya smartphone iliyo na charge kama ya betri isiishe ukaijaza kisha unasuuukuma ndani wote kabisa na kufyekelea mbali kininja ninja kwenye sinema mwanzo mpaka mwisho asife mtu wafufuke tu kwa jina la bwana aliye juu daima milele ndio mana kila siku nasema hiviii Jei Efu ni Raha Sana. Nimemaliza.

Ahsanteni Sana.
 
Back
Top Bottom