Nasema hiviiiii....

Nasema hiviiiii....

Tiger B

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
172
Reaction score
229
Kuabstain ndo njia pekee salama ya kujiepusha na UKIMWI na virusi vyake, pamoja na magonjwa mengine. Ewe kijana wa kike na wa kiume ambaye hujaoa au kuolewa; majuto ni mjukuu. Usicheze na maisha, jitahidi kuwa na subra.

Na ninyi mlio ndoani hebu tulizaneni huko! Muogopeni Mungu.

Pasaka Njema.
 
Mkuu!! Umesemea jambo zuri sana kiukweli, sasa tatizo nikwamba ukikaa single inahitaji uwe na moyo mgumu ujue, kwanza hitaji na msukumo wa mwili kama kiumbe aliye hai nichangamoto, ila pia kwa vijana kuna kitu tunakiita mob psychology from our peer groups, unaonekana boya sana kama huna hata demu wa kusingiziwa,

In conclusion, the best way to avoid sexually transmitted diseases is through abstaining ourselves from sexuality, different from that we gonna get die alive!
 
Back
Top Bottom