Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaajili ya nose bleeding
usijari kuna rafiki yangu ana tatizo la mafua aya muishe uwaga anatoa ute puani wenye harafu sasa ndo wamemwambia atafute iyo dawakwanini unaiulizia mkuu, ndio ipo maduka makubwa somehow,
ok nashukuru sanaHiyo dawa ina viambata viwili ambavyo ni 1. Neomycin ambayo ni antibiotic na 2. Chlorhexidine ambayo ni anti septic zote kwa pamoja katika muunganiko huo zinatumika kutibu na kuondoa staphylococcal bacteria kutoka Kwenye pua. Natumaini kwa maelezo hayo kidogo utakuwa umeelewa mkuu.