Naseptin

Naseptin

bado nipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
303
Reaction score
43
nauliza kama dawa ya NASEPTIN inapatika hapa nchini na ina matumizi gani
 
kwanini unaiulizia mkuu, ndio ipo maduka makubwa somehow,
 
okay ulinitisha, maana hizi dawa zina matumiz mengi, madukani zipo
 
Hiyo dawa ina viambata viwili ambavyo ni 1. Neomycin ambayo ni antibiotic na 2. Chlorhexidine ambayo ni anti septic zote kwa pamoja katika muunganiko huo zinatumika kutibu na kuondoa staphylococcal bacteria kutoka Kwenye pua. Natumaini kwa maelezo hayo kidogo utakuwa umeelewa mkuu.
 
ok nashukuru sana
 
Back
Top Bottom