Nash mc afanikiwa kufanya ziara Ujerumani, Hip Hop Inalipa!!!!!

Nash ni masanii visionary. Hanaga majungu wala hagezi maisha
 
Aah wapi hailipi! Mimi nakuja na Ngoma Ya Kuidiss Hip Hop, Ni lazima Tuimbe tu
 
Huyu jamaa mi napishana nae sehemu moja tu yeye anaujuaji sana anajifanyaga Hip hop anajua yeye tu na Bongo zima yeye ndo anajionaga ananguzo zote za HIP HOP. akijirekebisha hapo atakua poa sana
 
Hahaa hiphop yenyewe hajui kitu chochote
 
Huyu jamaa mi napishana nae sehemu moja tu yeye anaujuaji sana anajifanyaga Hip hop anajua yeye tu na Bongo zima yeye ndo anajionaga ananguzo zote za HIP HOP. akijirekebisha hapo atakua poa sana
Yap, hilo ndio tatizo lake kubwa, yaani kilakitu anajua yeye. Ndio maana watu kama Fid Q walimkataa mapema sana
 
Fid q na nash ni paka na panya fid q ni mkubwa kwa nash kuanzia akili sanaa na kila kitu
 
huyo mzaramo " yupo""?...daahhh ukikaa na huyo Jamaa usipocheka basi hutokuja kucheka tena aiseee""

Nash mc "" mc pekee kutoka THT""
BNi msanii pekee nchini mwenye V.V.U
 
Jamaa namfahamu fika na kazi zake hadi anapo ishi kwa shangazi yake huko temeke Mbagala, juzi kati alikuwa Uganda kwenye mkutano wa nini alikutana na wasanii wa kenya, uganda na rwanda
kwao mtaa yombo ukifika kwa sokota unaingia na ile barabara........maarufu sana huko
 
Kutoka Benjamin William Mkapa High School.Hongera mkuu,nakumbuka back those days!
 
Back
Top Bottom