Nash MC ana elimu gani?

Nash MC ana elimu gani?

mwenye Ngoma ya kuitwa Nalenga kichwani na Maalim ponda anitumie wakuu. Au album zake itakua njema zaidi
 
lyrically yupo vizuri, ila tatizo ni moja tu, nyimbo zake hazina ladha, hana flow nzuri.

Ili kuelewa kazi za Mhadhiri Nash unatakiwa usiruke ukurasa.

Fani yake ni elimu bahari. Jaribu kumsikiliza kwa umakili ili upate funzo.

Na laiti ungejua anapotokea, heshima ungemuongezea.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom