Nash MC, kwanini asipewe tuzo kwa darasa hili?



"Ongea na Mwanaoo sema naye, sikio lako ligawe..

Mfungulie account ya busara na nidham, siyo account ya mtandao Instagram"

Anaitwa Maalim Nash.

-Kaveli-
Anachana vyema sema ana connection chache
 
Madam Patience123 , ongea na wajukuu zako, sikio lako ligawe.

-Kaveli-
 
Sure. Jamaa yuko vizuri sana alafu simple tu.

Huu wimbo (ONGEA NA MWANAO) huwa sichoki kuusikiliza kila siku. Maalim ameikumbusha jamii vyema kuhusu malezi ya watoto.

-Kaveli-
 
'ONGEA NA MWANAO' ni wimbo bora kabisa kimaudhui katika bongo hip hop, kutoka kwa maalim Nash. Anaikumbusha jamii kuhusu malezi ya mtoto.

Wimbo huu ni ndani ya package ya Album yake iitwayo 'VITASAMOTO' released mwaka jana 2020.

Tumuunge mkono maalim Nash aendelee kutuburudisha huku tunapata dar'sa.

Unga mkono kwa kununua kazi zake.

Ukihitaji kununua albums zake, mcheki kupitia WhatsApp: 0769522346 ; 0787639655.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…