fisi miraba
New Member
- Feb 18, 2018
- 2
- 0
Huyu jamaa nilikua namkubali sana mwazo, kuanzia mitihati,mapendo,tabia, kakasuma, zima n.k,,ila baadae nikaanza kupata ukakasi baada ya jamaa kua anaponda kila msanii mwenye mafanikio kumshinda yeye na media kubwa zote..jamaa ni mjuaji na mwenye wivu hana lolote.