fisi miraba
New Member
- Feb 18, 2018
- 2
- 0
Mimi huwa namchora tu aingie kwenye 18 zangu nitamfuta mpaka kwao temeke nimtandike vibao namsubiria Sana ayakanyage aingie kwenye anga zangu yaani namtamani sanaHuyu jamaa nilikua namkubali sana mwazo, kuanzia mitihati,mapendo,tabia, kakasuma, zima n.k,,ila baadae nikaanza kupata ukakasi baada ya jamaa kua anaponda kila msanii mwenye mafanikio kumshinda yeye na media kubwa zote..jamaa ni mjuaji na mwenye wivu hana lolote.
Mafanikio katika muktadha upi?.mfikishie tu mwambie ataendelea kuwaonea wivu wasanii wenye mafanikio hadi kucha zing'oke
Hivi nyimbo ya Tabia na Mtihani mbona sizioni mtandaoni, nyie mnazipata vpMaisha baada ya chuo
Mapendo
Kaka suma
Naandika
Hasi 13
Shujaa
Tabia
Kiufupi albam zake zote ninazo na sichoki kumsikiliza Nash mcee
Nunua album zakeHivi nyimbo ya Tabia na Mtihani mbona sizioni mtandaoni, nyie mnazipata vp
Mbona zipo ukisearch google utazipataHivi nyimbo ya Tabia na Mtihani mbona sizioni mtandaoni, nyie mnazipata vp
MAALIM PONDAshee ponda ndio ngoma nzuri kulikn zote
alimponda nani?Huyu jamaa nilikua namkubali sana mwazo, kuanzia mitihati,mapendo,tabia, kakasuma, zima n.k,,ila baadae nikaanza kupata ukakasi baada ya jamaa kua anaponda kila msanii mwenye mafanikio kumshinda yeye na media kubwa zote..jamaa ni mjuaji na mwenye wivu hana lolote.
Ngoma ya mwisho aliachia inaitwa Shujaa...ikoo vizuri...na inareflect hali ya kisiasa tz..