Nashangaa hili zoezi la kuhamisha wamasi wa ngorongoro

Nashangaa hili zoezi la kuhamisha wamasi wa ngorongoro

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu,
Sina lengo la kuchafua zoezi Ila nikiangalia kwa macho yangu najitahidi kufikicha macho nimuone vizuri mmasai simuoni anayehamishwa naona Kama jamii ya wameru wa Arusha,isije kuwa watu wameona ni fursa tayari hapo au serikali inatuchezea sarakasi tuamini kweli wamasai wanahama kumbe ni wameru wa Arusha.
Serikali imejitahidi kwa kadri ya uwezo wao IPO kazi sababu je mtahamisha na matambiko ya kimasai ?
 
Back
Top Bottom